Uchaguzi 2020 Hoja za Tundu Lissu Bagamoyo ni mwiba mchungu kwa CCM. CCM inapomjibu Lissu anawasha moto zaidi

Uchaguzi 2020 Hoja za Tundu Lissu Bagamoyo ni mwiba mchungu kwa CCM. CCM inapomjibu Lissu anawasha moto zaidi

..hizo landcruiser thamani yake siyo sawa na zahanati huko vijijini?

..kwa haraka nimehesabu kama landcruiser tisa.

..viongozi wa kiafrika ni makatili sana.

cc Kilatha
Hata chadema kwa ruzuku wanayopata wangekuwa na kama hizo angalau 5 ila Mbowe katia hela zote mfukoni, matokeo yake Lisu analialia hana hela za kampeni
 
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Wanafunzi wa primary na secondary wapo kama mia tatu hapo
 
..hongereni.

..wananchi wanazihitaji kwasababu wanakula mlo mmoja kwa siku.
Wanafunzi wa primary na secondary wapo kama mia tatu hapo

bossngasadodoma_20200910_9.jpg

Sawa za mgombea wenu ziko wap mnamficha ficha sana
 
Mwambieni kwamba, huu sio Wakati wa maswali Kwa waziri mkuu, ni Kampeni za kuomba Kura Kwa wananchi

Na bahati mbaya kabisa, tayari amejiandaa kuwa chali mapeeema!!!!
 
Ukiona mgombea anaacha kuelezea sera zake kwanini achaguliwe ila anajikita zaidi kuokoteza visababu vya kumponda mwingine ujue ameshakata tamaa ya ushindi
 
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
"Nimekuja kumuona diamond tuu....hayo mengine siyajui.."..hahahshshah alisikika mama mmoja toka magu uwanjani ccm kirumba
 
Mkutano wa Tundu Lissu akiwa Bagamoyo umenikatisha tamaa kwa hoja zake zisizo na majibu bali zinahitaji utekelezaji wa Serikali

Mosi, Tundu Lissu anasema wananchi wa barabara ya Kimara wengi wamekufa kwa presha baada ya nyumba zao kubomolewa na viongozi wa CCM kupitia mamlaka kuu,Anasisitiza hawakulipwa pesa kosa barabara

Pili, Tundu Lissu anasisitiza walimu na mapolisi kwa miaka mitano hawajaongezewa kitu chochote ,na wakati wa Mei Mosi hujibiwa kwa kiburi tunajenga barabara

Tatu, Tundu Lissu amewauliza wananchi hali ya maisha yao na wafanyabiashara wanaonaje,Wananchi wamejibu hali ni ngumu sana

Nne, Anatuhumu kuwa pesa na michango ya Corona imeliwa yote waliyochangisha wana CCM na Mamlaka Kuu. Anasema madaktari na manesi waliahidiwa wakati wa corona kulipwa lakini mpaka sasa hawajalipwa hata senti tano.

Hii ya Bagamoyo leo Tundu Lissu lengo lake ni kumjibu Mama Samia Suluhu kwa hotuba zake Lindi

Kwa hoja na kauli ngumu kama hizi za Tundu Lissu nani atazijibu?

Mzee Yusuf Makamba amejitokeza leo kujibu lakini utamuonea huruma hana la kujibu wala namna bali kutifurahisha vijana

Mzee Makamba anasema CCM ndio imejenga uwanja wa Rais Chato na sio Rais kajenga, amesisitiza kuwa Chato ni Tanzania

Mzee Makamba anasema mbuga ya Chato ni ongezeko la vivutio kwani lile pori lilikuwa tupu wanakaa majambazi

CCM kama chama changu tuache kumjibu huyu mtu majukwaani tuongelee yetu,

Mbona suala la hotuba yake Zanzibar tumekaa kimya na yeye mwenyewe kapotezea, tungejibu ishu ya Zanzibar angetupa taabu sana
Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.
 
Chadema mmejenga uwanja wa ndege Chato halafu mnamsingizia Rais wetu Magufuli kipenzi cha mambulula
 
10 September 2020
Bagamoyo, Pwani
Tanzania

Hotuba ya Tundu Lissu wakati wa kampeni Bagamoyo kuelekea uchaguzi 2020



[SUP]Tundu Lissu atua Bagamoyo kwa gari Baada ya Helkopta[/SUP][SUP] [/SUP][SUP]yake kuzuiwa: Magufuli ama zake ama zangu.[/SUP]
[SUP]Ukatili wa mgombea Urais kupitia tiketi ya chama cha CCM Mpya John Magufuli mnaufahamu.[/SUP]
 
..hizo landcruiser thamani yake siyo sawa na zahanati huko vijijini?

..kwa haraka nimehesabu kama landcruiser tisa.

..viongozi wa kiafrika ni makatili sana.

cc Kilatha
Tisa ? mhutu anatembea na msafara wa Land cruiser 60 moja Ni bomb detector
IMG_20200907_170500.jpg
 
Back
Top Bottom