Uchaguzi 2020 Hoja za Tundu Lissu Bagamoyo ni mwiba mchungu kwa CCM. CCM inapomjibu Lissu anawasha moto zaidi

..hizo landcruiser thamani yake siyo sawa na zahanati huko vijijini?

..kwa haraka nimehesabu kama landcruiser tisa.

..viongozi wa kiafrika ni makatili sana.

cc Kilatha
Hata chadema kwa ruzuku wanayopata wangekuwa na kama hizo angalau 5 ila Mbowe katia hela zote mfukoni, matokeo yake Lisu analialia hana hela za kampeni
 
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Wanafunzi wa primary na secondary wapo kama mia tatu hapo
 
Mwambieni kwamba, huu sio Wakati wa maswali Kwa waziri mkuu, ni Kampeni za kuomba Kura Kwa wananchi

Na bahati mbaya kabisa, tayari amejiandaa kuwa chali mapeeema!!!!
 
Ukiona mgombea anaacha kuelezea sera zake kwanini achaguliwe ila anajikita zaidi kuokoteza visababu vya kumponda mwingine ujue ameshakata tamaa ya ushindi
 
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
"Nimekuja kumuona diamond tuu....hayo mengine siyajui.."..hahahshshah alisikika mama mmoja toka magu uwanjani ccm kirumba
 
Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.
 
Chadema mmejenga uwanja wa ndege Chato halafu mnamsingizia Rais wetu Magufuli kipenzi cha mambulula
 
10 September 2020
Bagamoyo, Pwani
Tanzania

Hotuba ya Tundu Lissu wakati wa kampeni Bagamoyo kuelekea uchaguzi 2020

[SUP]Tundu Lissu atua Bagamoyo kwa gari Baada ya Helkopta[/SUP][SUP] [/SUP][SUP]yake kuzuiwa: Magufuli ama zake ama zangu.[/SUP]
[SUP]Ukatili wa mgombea Urais kupitia tiketi ya chama cha CCM Mpya John Magufuli mnaufahamu.[/SUP]
 
..hizo landcruiser thamani yake siyo sawa na zahanati huko vijijini?

..kwa haraka nimehesabu kama landcruiser tisa.

..viongozi wa kiafrika ni makatili sana.

cc Kilatha
Tisa ? mhutu anatembea na msafara wa Land cruiser 60 moja Ni bomb detector
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…