Uchaguzi 2020 Hoja za Tundu Lissu Bagamoyo ni mwiba mchungu kwa CCM. CCM inapomjibu Lissu anawasha moto zaidi

Hivi unafikiri CCM wana majibu na hoja za Lissu na watanzania ni full kujikanyaga ,wewe unafikiri mtu kushindwa kuajiri kwa miaka mitano , kupandisha mishahara , madaraja , watu kupotea , viwanda hewa , milioni hamsini kila Kijiji hewa ,wizi was hella za korosho , rambirambi za tetemeko la Kagera , mauaji , utekaji hayo yote CCM watajibu nini unafikiri .
 
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Mkuu
Shida ya wapiga kura wa ccm ni kuona wasanii???
 
Huenda hivi vizee vimeshinikizwa ili virudishwe kundini
Na ndiyo ilivyo mkuu. Kwa namna alivyotukanwa na Musiba halafu akamlalamikia John lkn John akaishia kumpa onyo kali, unadhani anaweza kurudi kiroho Safi,?
 
Bado wale walioibiwa wake zao, kwakua nguvu na utukufu vilikua kwake na sasa wanamsubiri kwenye kura. Lissu utavuna kura nyingi sana.
 
sasa mbona unatufokea
Zahanati takriban 300 zimejengwa nchi nzima with in 5 yrs , rekodi ya kipekee Sana , wakat kikwete alijenga zahanati 150 Kwa mda wa miaka kumi, zahanati hzo zinasubir watumishi wa afya waajiliwe mwaka ujao wa fedha
 
Kuntu


Huyualiyepewa onyo kali na John baada ya kulalamika kuwa anatukanwa na Musiba amejitokeza leo? Hivi anamdanganya nani huyu mzee kwamba anampenda John?

Daah! Kweli Lisu kiboko.
Mleta uzi ameanza KUONGOKA
 
View attachment 1565570
Sawa Bwashehe.....CCM can not waste her time to answer somebody shit, kazi yao ni moja tuu, kuwafikia wapiga kura walipo na kuwatatulia shida zao ..... Hakuna impact yyte ya sera Kwa mda uliobaki... Ni kushikilia ulicho nacho
Wanafunzi watasoma lini, baada ya kampeni?
 

Unapoona mtu anashambulia mwenzake kwa kuweka ushahidi wa uwongo, ni dhahiri ameishwa hoja kwa kuwa ana akili ndogo. Ajibiwe kuhusu matukio badala ya hoja? Kwani yuko mahakamani kusuburi pingamizi?

Aliowahutubia kwenye kampeni (waajiriwa kukosa nyongeza za mishara, kubomolewa nyumba, fedha ya korona wakati hakuna aliyevaa barakoa, nk) je, ndiyo hoja ya mahitaji yao ya maendeleo?

NI UPUUZI MTUPU. Wana Bagamoyo wamecheka na kudharau, kama ninavyodharau bandiko lako.
 
Kwahiyo Genge lote la wahuni wa ccm amejitokeza tu huyo demented elederly man kujibu? Mbona vijana uvccm hawatelelezi kayli ya Bashiru kuja kutujibu hoja wamekata tamaa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…