Hoja za vyama vya upinzsni zitakuwa zipi wakianza mikutano ya hadhara?.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
1. Je wamponde Samia wamsifie magufuli ?

AU
2. Wamsifie Samia wamponde Magufuli?

AU

3. Wamponde Awamu zote za CCM?

Naona wanawakati mgumu kupata hoja maana wananchi tunamini Katika Magufuli hatuna imani na samia

Ila wapinzani hawaamini Katika magufuli Wana imani na samia. Nasubiri Kwa hamu nione watakuwa wanaongea Nini majukwaani.

Sijui kama wote mmeshauona Huo mkangamyiko
 
Sema wewe ndio unaamini kama JPM usisemee watu,
Kuhusu wataongea nini Tusubiri
 
Matatizo yote yaliyojaa nchini, wewe huyaoni? Nahisi ndio maana ccm inatawala kirahisi sana, kama wananchi wanaoishi kwenye migao ya huduma muhimu, tozo zisizoeleweka, matumizi ya hovyo ya serikali, hawayaoni wala hawaguswi na matatizo hayo!!
 
Hofu ya nini ndg yangu?Mbona kuna mambo mengi sana ya kujadili.Kwa kuwa ww ni mlamba asali huoni ongezeko la bei za vyakula,kupanda gharama za maisha na ufujaji wa fedha za umma.Huoni hata ukubwa wa deni la taifa?
 

Mkuu mbona zipo hoja za kumwaga?

Mikutano ya siasa wamebana, wameachia
 
Kwani hii nchi ina vyama vya upinzani?🤔🤔🤔
 

CHADEMA ilikuwepo kabla ya Samiah na Magufuli.
 

Toa ushauri jinsi ya kupunguza Deni la Taifa. Punguza majungu hayajengi.
 

Kweli kuna uzuzu wa kila namna wewe unamtaja Magufuli wkati yuko kaburini anajibu maswali kwa yote aliofanya.
 
Binafsi ningechagua zuio la mikutano ya hadhara kuenndelea maana nikiona lile troupe la chadema lissu, lema, sugu, etc etc wakiongozwa na chiriku mbowe sioni kama ccm wataweza kuvumilia mashambulizi.
Uzushi uongo lazima vitawale na huku mwenezi ccm akijibu mapigo. Tutaondoka mara moja kwenye reli ya maendeleo na siasa za kistaarabu.
 
Walioko Ubelgiji na Canada eti
Halafu kipindi cha kampeni warudi na tuwasikilize watakachoifanyia nchi wakiingia madarakani na tuwaelewe? Acha tuendelee na CCM hiihii
 
Wao wakazie jinsi ya kupata katiba mpya habari za nyerere,mwinyi,mkapa,jk,jpm na samia hatutaki kusikia maana wote ni marais wa hovyo

Watueleze ni juhudi zipi wanazo zifanya ili tupate katiba itakayo wasaidia wananchi kuwawajibisha wanaowachagua kwny chaguzi kubwa na ndogo.
 
Vyama vingi vya siasa vilianza 1992 na hata huko nyuma kabla yake hamkuwa kwenye reli ya maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…