Kwani bwana wako wa jumba kuu anamuogopa Mbowe!? Kama aliweza kumvunjia Billcanas atashindwa kumuweka ndani kwa ufisadi? Au mahakama ya mafisadi ni mahakama uchwara?Ahahahaha kwaio nyie makamanda wa ufipa Wala hamjal pia hamuhoji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie huenda mkawa simba wa kuchora
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile press ilifeli? Hujui kilichotokea au mahaba yamepitiliza.Propaganda tu nilidhani ana nyaraka kumbe anatutuma kwa Gwajima!!
Anadai Mbowe ametapeli pesa za kampeni ilihali Waitara bado alikubali kugombea kupitia CHADEMA!!
Hvi tuhuma nzito hivi unadhani Dr Slaa asingezimwaga siku anasepa ama Zitto?
Dr Mashinji alikua katibu mkuu hajayasema hya sembuse hyu aliyekua subordinate tu.
Ifike mahala hawa waropokaji wafaiwe nyaraka kuthubitisha maana kma CAG anakagua mahesabu afu haoni huu ubadhirifu ila wanasiasa ndio wanauona basi nchi yetu ina matatizo mazito zaidi.
CCM jaribuni zaidi, Kma Dr Slaa alifeli sidhani kuna press conference ya kuivunja CHADEMA.
Kuna yule Naibu waziri alisema CHADEMA walimdhuru Lissu nashangaa polisi haijamuita kusaidia upelelezi na kosa la kuiba evidence eneo la tukio.
Erythrocyte, Salary Slip, Waterloo, Sky Eclat, ngalakeri, Viol, Gambino, chakii, G Sam na bavicha wengine njoeni mumtetee kamanda.
Mtu anasoma tu karatasi ndio ushahidi? Kwanini asingerekodi maongezi ayapeleke dawati la jinsia ama tume ya maadili ama kamati ya bunge ya jinsia ili kina Mbowe washtakiwe??
Kelele bila ushahidi hazina maana, sijasikia hta mmoja akiomba uchunguzi zaidi ya kulalamika kuna wizi na unyanyasaji.
Press ilifeli mkuu tulitegemea kura zingeshuka ila cha ajabu mpaka jimbo la Dr Slaa CHADEMA sio tu walizoa ubunge bali mpaka halmashauri nzima.
Mbowe mwanasiasa mwenye bahati sana-Waitara.
πππDogo rudi shule ukajifunze kuandika kwanza.
Heading haieleweki "nakuhisi" hapo umemaanisha nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sisiemu ndio imeifikisha chadema hapo ilipo walau inajulikana kidogo.Mbowe ndio ameifikisha hapo ilipo CHADEMA kiasi hta Waitara ameshinda jimbo.
Watu shukrani hawana kwanni wasiondoke kwa amani tu mpka matusi? Mbona Dk Mashinji,Lowassa na Sumaye wapo kimya ilihali wanajua mazito ya pande zote mbili.
Angeleta Nyaraka ila propaganda bila uthibitisho sio jambo la kushabikiwa na mtu yeyote serious
Ni aibu sana watu wanaojifanya majasiri kina Mdee, Bulaya, mnyika, Lissu wote wananyweaaaaa na hakuna wa kumhoji mbowe. Yaani wote hapo hamna kitu!Nguvu ya pesa. Baba mkwe ndo mwenye chama. Anyway chama cha familia. Na kajiwekea nguvu kiasi kwamba hapingiki.
Unajua hapa ndio tunatofautiana mtazamo. CHADEMA walishaita press 2010 na 2015 wakiwa na nyaraka kuonyesha jinsi NEC wanavyotangaza matokeo feki, ila mahakama gani utashitaki matokeo ya Urais? Hta Wenje na Kafulila walikua na nyaraka ni vile tu technicalities za mahakamani ziliwaangusha ila sio ushahidi per se ulikosekana!! Maalim mara ngapi anaonyedha nyaraka zenye sahihi kabisa kuwa kashinda? Je amewahi pewa haki yake?Kama unaamini Kelele bila ushahidi hazina maana, vivyo hivyo wanaodai kuwa "Uchaguzi huwa siyo huru" wasiishie kulalamika na kupiga kelele. Wapeleke ushahidi mahakama za ndani na hata nje kupata haki yao.
CCM hii hii inayoogopa M4C na Operation sangara? Inayoogopa Bunge live kuona wanavyobanwa kwanini bajeti haijatekelezeka mwaka wa 5 huu kwa walau 70%?Na sisiemu ndio imeifikisha chadema hapo ilipo walau inajulikana kidogo.
Corona itakua inakunyemelea.Lakini mbona hakitoi harufu?
Jr[emoji769]
Unatoa majibu mepesi sana kwa maswali magumu. Kuna hoja zingine zina majibu mafupi lakini nazo zinakimbiwa. Mfano, jamaa anadai kuna kundi la wapendwa wa Mbowe (Wabunge) hawakatwi mchango kama wenzao. Kawataja kwa majina, Lissu,Sugu,Mdee,Bulaya, Heche...Mbowe hana haja ya kumjibu huyu akili zake zimehamia tumboni.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Wajibu hoja au vioja?
Mkuu,ukiona mwehu anakimbia uchi barabarani anakutaka ujiunge utakubali kisa umetakiwa kufanya hivyo?Unatoa majibu mepesi sana kwa maswali magumu. Kuna hoja zingine zina majibu mafupi lakini nazo zinakimbiwa. Mfano, jamaa anadai kuna kundi la wapendwa wa Mbowe (Wabunge) hawakatwi mchango kama wenzao. Kawataja kwa majina, Lissu,Sugu,Mdee,Bulaya, Heche...
Hawa wangejitokeza kusema kama na wachangia kama wenzao au la.
Hii mbona ni tuhuma rahisi sana kujibu lakini jamaa wanapiga kimya.,.
Hivi mlevi huyu alikuwa na ubavu wa kufanya kampeni kwa hela ipi,hata kujaza mafuta gari kuzunguka jimboni angeweza?Propaganda tu nilidhani ana nyaraka kumbe anatutuma kwa Gwajima!!
Anadai Mbowe ametapeli pesa za kampeni ilihali Waitara bado alikubali kugombea kupitia CHADEMA!!
Hvi tuhuma nzito hivi unadhani Dr Slaa asingezimwaga siku anasepa ama Zitto?
Dr Mashinji alikua katibu mkuu hajayasema hya sembuse hyu aliyekua subordinate tu.
Ifike mahala hawa waropokaji wafaiwe nyaraka kuthubitisha maana kma CAG anakagua mahesabu afu haoni huu ubadhirifu ila wanasiasa ndio wanauona basi nchi yetu ina matatizo mazito zaidi.
CCM jaribuni zaidi, Kma Dr Slaa alifeli sidhani kuna press conference ya kuivunja CHADEMA.
Kuna yule Naibu waziri alisema CHADEMA walimdhuru Lissu nashangaa polisi haijamuita kusaidia upelelezi na kosa la kuiba evidence eneo la tukio.
Nyumbu na pimbi kuna tofauti ya kujivunia? Miaka zaidi ya 50 bado kuna vitu kama hivi na mnatamba???!!!!Tukiwa tunawaita nyumbu msiwe mnakasirika Mana mpo Kama misukule kwa heka zote izo bado mnapanga Tena nyumba ambayo ata raia wa kawaida anaweza kuimudu Yan mnashindwa hata ofis na baadh ya vyama vya kinamama vya sakos
Sent using Jamii Forums mobile app