Holiday greetings!. Tuma Salamu zako

Holiday greetings!. Tuma Salamu zako

Merry Christmas and Happy New year in advance to the following brothers;
My admirer Analyse [emoji7]
My Admirer Baba Swalehe [emoji8]
My admirer BUSH BIN LADEN [emoji7]
Kivuruge[emoji23] fyddell [emoji177]
Kiranga I admire you
Lizarazu my lovely one[emoji177]
Jack Palladino mchumba[emoji7]
Wonderful, thanks Saint Anne . Merry xmas and happy new year too.. U being here makes Jf the beautiful page to visit(for me).. Soo endelea kuwa hapa next year am sure 2021 utakuwa mwaka wa furaha zaidi kwangu hapa Jf๐Ÿ’•
 
Merry christmas and happy new year in advance to babu yangu mpendwa Asprin na bii bii yangu Sky Eclat

Bradha from anadha madha troublemaker and my dia sis Khantwe

Mtarajiwa wangu Sanchez magoli na babe wangu Don Clericuzio na yule forever crush ambaye simtajagi

Saint Anne Chakorii Depal Espy cocastic Espy Karma na wengine wote

STUNTER na jje's

Let's have a great 2021 ๐Ÿฅ‚
Am humbled my dear mjukuu...

Mimi na bibi yako Sky Eclat tuko twakusubiri ukuje ukule vinono. Huu ndo muda muafaka wa kututambulisha yule boifrendi ambaye humchunagi
 
Watu wangu wote ninaowakubali mnajijua..๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜mko moyoni mwangu...

Kipenzi changu,jirani chaukorofi,wakina nani na nani,mtakatifu,mwamba,mโ€™babe wangu Joanah tag yako mama sikuiona siku husika..forever ndani ya moyo wangu mama..nakupenda ๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•
 
Na sisi tusio na nyota ya kupewa shavu lolote JF tuvuke salama...[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Back
Top Bottom