Holiday greetings!. Tuma Salamu zako

Holiday greetings!. Tuma Salamu zako

Leooooooo, sio bure
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I just wan say i love you and always will. Hata kifo hakitotutenganisha[emoji173]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afadhali, that put a massive smile in my heart, yaani hata baada ya kifo tutakutana huko[emoji23][emoji23][emoji23].

Ila enjoy responsibly![emoji8][emoji8][emoji8]
Yaani kama unajiandaa kupata new babe huko basi sahau, nitakuganda hadi huko[emoji1787]

Thanks darling, same to you.
 
Tukiwa tunauaga mwaka 2020 na kuukaribisha 2021 tuanze kabisa kutuma salamu za heri kwa tuwapendao na hata tunaowachukia..
1.Salamu zangu za kwanza zimfikie Paula Paul popote ulipo huyu manzi ghafla nimetokea kumpenda sana kwa mwaka huu 2020 namuombea mwenyezi mungu amvushe salama auone mwaka mwingine
2.salamu zangu za pili ziende kwa mama mmoja ambaye alitamba sana Jf kipindi hicho kwa sasa sijui kapotelea wapi huyo ni FaizaFoxy huyu mtu kuna waliompenda na kumchukia lakini alitisha kama ukoma yani umwingilii mara mbili akakuacha salama alikuwa kama messi wa Barcelona ukimfata ovyo anakumimina kama chapati.. kama yupo hai naomba mungu amvushe salama mpaka 2021
3.Salamu ziwafikie wale wote wanaoingia jf na kusoma comments za watu bila wao kukomenti . Hususani wale wanaoishia ku like tu wakiguswa...mungu awavushe salama
4.Salamu zimfikie jamaa wakuitwa mkwepu jr jamaa ana record ya kipekee sana member since 2014 hajawahi anzisha thread hata moja lakini anaongoza kwa kutoa likes katoa likes zaidi ya laki 3 mpaka muda huu. Hongera sana mungu akuvushe bro tukutane 2021
Real recognize real

Oya wanangu SCAR na Mvumbo tupo pamoja sema wish ya ki real niggah hainaga mbwembwe
 
Naanza [emoji23][emoji23]....
...kwa my long time wife(no divorce sooner or later) Espy, enjoy na wote uwapendao excluding me[emoji39]
..shem wangu wa nguvu kabisa Makiseo, nilikualika uje kwetu kwa sherehe za kufunga mwaka[emoji39]
..wanangu wa nguvu kabisa Karma na sis darling Heaven Sent, I'm glad to be ur dad[emoji39]
..kwa gunner's fans wote, Castr & co, tunapitia kipindi kigumu kuliko ila tunazidi kuwa na vitambi[emoji39]
...kwa chitchatters wote, mmu members na kule kwenye stress za siasa.

Happy holidays to you all, tuione 2021 tukiwa na afya tele, halafu tupate pesa, jamani tuwe na pesa hadi zitukimbie.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ooooooh!!!! Shem. Ndiyo naona hizi salamu leo jamani.. Shukrani sana sana wa kwetu.

Baraka hizi ziwe nasi sote. Mwaka 2021 Mungu atuonekanie katika yote na yale yaliyo magumu aliyotuahidi atarahisisha..
 
Amin amin shem, tubarikiwe sana 2021.
 
Natoa salamu zangu na heri kwa members wote. Jf hata wale tuliokosana.

Bila kuwasahau walevi wenzangu
 
Merry christmas and happy new year in advance to babu yangu mpendwa Asprin na bii bii yangu Sky Eclat

Bradha from anadha madha troublemaker and my dia sis Khantwe

Mtarajiwa wangu Sanchez magoli na babe wangu Don Clericuzio na yule forever crush ambaye simtajagi

Saint Anne Chakorii Depal Espy cocastic Espy Karma na wengine wote

STUNTER na jje's

Let's have a great 2021 [emoji1635]
Ooooooh dea thanks moaaah, en u also.
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Merry christmas and happy new year in advance to babu yangu mpendwa Asprin na bii bii yangu Sky Eclat

Bradha from anadha madha troublemaker and my dia sis Khantwe

Mtarajiwa wangu Sanchez magoli na babe wangu Don Clericuzio na yule forever crush ambaye simtajagi

Saint Anne Chakorii Depal Espy cocastic Espy Karma na wengine wote

STUNTER na jje's

Let's have a great 2021 [emoji1635]
Shunie babe[emoji7]
amu rafiki yangu[emoji7]
binti kiziwi Dada[emoji7]
Karma [emoji7]
Brazaaaa

Merry Christmas and happy New year vipenzi..[emoji179][emoji179]
Naanza [emoji23][emoji23]....
...kwa my long time wife(no divorce sooner or later) Espy, enjoy na wote uwapendao excluding me[emoji39]
..shem wangu wa nguvu kabisa Makiseo, nilikualika uje kwetu kwa sherehe za kufunga mwaka[emoji39]
..wanangu wa nguvu kabisa Karma na sis darling Heaven Sent, I'm glad to be ur dad[emoji39]
..kwa gunner's fans wote, Castr & co, tunapitia kipindi kigumu kuliko ila tunazidi kuwa na vitambi[emoji39]
...kwa chitchatters wote, mmu members na kule kwenye stress za siasa.

Happy holidays to you all, tuione 2021 tukiwa na afya tele, halafu tupate pesa, jamani tuwe na pesa hadi zitukimbie.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Dah roho inaniuma nimechelewa kuona hizi tags jamani [emoji17][emoji17]

Sasa mwaka wenyewe ushachakaa na kuuchoka tushauchoka tayari [emoji2297][emoji2297]
 
Back
Top Bottom