Holiday greetings!. Tuma Salamu zako

Wonderful, thanks Saint Anne . Merry xmas and happy new year too.. U being here makes Jf the beautiful page to visit(for me).. Soo endelea kuwa hapa next year am sure 2021 utakuwa mwaka wa furaha zaidi kwangu hapa JfπŸ’•
 
Am humbled my dear mjukuu...

Mimi na bibi yako Sky Eclat tuko twakusubiri ukuje ukule vinono. Huu ndo muda muafaka wa kututambulisha yule boifrendi ambaye humchunagi
 
Watu wangu wote ninaowakubali mnajijua..😘😘mko moyoni mwangu...

Kipenzi changu,jirani chaukorofi,wakina nani na nani,mtakatifu,mwamba,m’babe wangu Joanah tag yako mama sikuiona siku husika..forever ndani ya moyo wangu mama..nakupenda πŸ’•πŸ’•πŸ’•
 
Na sisi tusio na nyota ya kupewa shavu lolote JF tuvuke salama...[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…