Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I just wan say i love you and always will. Hata kifo hakitotutenganisha[emoji173]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afadhali, that put a massive smile in my heart, yaani hata baada ya kifo tutakutana huko[emoji23][emoji23][emoji23].
Ila enjoy responsibly![emoji8][emoji8][emoji8]
Yaani kama unajiandaa kupata new babe huko basi sahau, nitakuganda hadi huko[emoji1787]
Thanks darling, same to you.
We at the peak, our love life is measuring at 10/10.[emoji23][emoji23]Leooooooo, sio bure
Kwamba?Leooooooo, sio bure
Unaomba hela ya wigi la sikukuu, ili tu usibane kama JumongKwamba?
Nataka ya kula pilau.Unaomba hela ya wigi la sikukuu, ili tu usibane kama Jumong
Kwa akili yako kuwa na toto la kiarab ni ujiko au, yaani wewe zwazwa kweli. Sijuwi kwanini wapiga punyeto mnakuwa na akili mgando kihivi?Nina toto la kiarabu nipige nyeto nina wazimu
[emoji120][emoji120][emoji120] na kwako pia dear nakupendaShunie babe[emoji7]
amu rafiki yangu[emoji7]
binti kiziwi Dada[emoji7]
Karma [emoji7]
Brazaaaa
Merry Christmas and happy New year vipenzi..[emoji179][emoji179]
Real recognize realTukiwa tunauaga mwaka 2020 na kuukaribisha 2021 tuanze kabisa kutuma salamu za heri kwa tuwapendao na hata tunaowachukia..
1.Salamu zangu za kwanza zimfikie Paula Paul popote ulipo huyu manzi ghafla nimetokea kumpenda sana kwa mwaka huu 2020 namuombea mwenyezi mungu amvushe salama auone mwaka mwingine
2.salamu zangu za pili ziende kwa mama mmoja ambaye alitamba sana Jf kipindi hicho kwa sasa sijui kapotelea wapi huyo ni FaizaFoxy huyu mtu kuna waliompenda na kumchukia lakini alitisha kama ukoma yani umwingilii mara mbili akakuacha salama alikuwa kama messi wa Barcelona ukimfata ovyo anakumimina kama chapati.. kama yupo hai naomba mungu amvushe salama mpaka 2021
3.Salamu ziwafikie wale wote wanaoingia jf na kusoma comments za watu bila wao kukomenti . Hususani wale wanaoishia ku like tu wakiguswa...mungu awavushe salama
4.Salamu zimfikie jamaa wakuitwa mkwepu jr jamaa ana record ya kipekee sana member since 2014 hajawahi anzisha thread hata moja lakini anaongoza kwa kutoa likes katoa likes zaidi ya laki 3 mpaka muda huu. Hongera sana mungu akuvushe bro tukutane 2021
Mabusu kede kede granny, heri ya sikukuu za kufungia mwaka. πππBado nakusubiri. Sijakata tamaa
Ooooooh!!!! Shem. Ndiyo naona hizi salamu leo jamani.. Shukrani sana sana wa kwetu.Naanza [emoji23][emoji23]....
...kwa my long time wife(no divorce sooner or later) Espy, enjoy na wote uwapendao excluding me[emoji39]
..shem wangu wa nguvu kabisa Makiseo, nilikualika uje kwetu kwa sherehe za kufunga mwaka[emoji39]
..wanangu wa nguvu kabisa Karma na sis darling Heaven Sent, I'm glad to be ur dad[emoji39]
..kwa gunner's fans wote, Castr & co, tunapitia kipindi kigumu kuliko ila tunazidi kuwa na vitambi[emoji39]
...kwa chitchatters wote, mmu members na kule kwenye stress za siasa.
Happy holidays to you all, tuione 2021 tukiwa na afya tele, halafu tupate pesa, jamani tuwe na pesa hadi zitukimbie.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ooooooh!!!! Shem. Ndiyo naona hizi salamu leo jamani.. Shukrani sana sana wa kwetu.
Baraka hizi ziwe nasi sote. Mwaka 2021 Mungu atuonekanie katika yote na yale yaliyo magumu aliyotuahidi atarahisisha..
Ooooooh dea thanks moaaah, en u also.Merry christmas and happy new year in advance to babu yangu mpendwa Asprin na bii bii yangu Sky Eclat
Bradha from anadha madha troublemaker and my dia sis Khantwe
Mtarajiwa wangu Sanchez magoli na babe wangu Don Clericuzio na yule forever crush ambaye simtajagi
Saint Anne Chakorii Depal Espy cocastic Espy Karma na wengine wote
STUNTER na jje's
Let's have a great 2021 [emoji1635]
Merry christmas and happy new year in advance to babu yangu mpendwa Asprin na bii bii yangu Sky Eclat
Bradha from anadha madha troublemaker and my dia sis Khantwe
Mtarajiwa wangu Sanchez magoli na babe wangu Don Clericuzio na yule forever crush ambaye simtajagi
Saint Anne Chakorii Depal Espy cocastic Espy Karma na wengine wote
STUNTER na jje's
Let's have a great 2021 [emoji1635]
Shunie babe[emoji7]
amu rafiki yangu[emoji7]
binti kiziwi Dada[emoji7]
Karma [emoji7]
Brazaaaa
Merry Christmas and happy New year vipenzi..[emoji179][emoji179]
Dah roho inaniuma nimechelewa kuona hizi tags jamani [emoji17][emoji17]Naanza [emoji23][emoji23]....