Holiday season imewadia, wazee wa safari ndefu huu ndiyo mwezi wetu wa kumwaga moto

Wengine holiday tunaruka Madagasca n Mauritius halafu wengine ambao mwaka mzima wanawaza kwenda vijijini kunywa pombe za kienyeji na kupiga picha wakiwa wameshika mahindi mabichi na vibuyu. Dunia ina mambo mangi sanaπŸ˜€
 
pole sana mimi mabasi sipandagi nina miaka mingi saana kwenda nyumbani napandaga ndege
 
Wengine holiday tunaruka Madagasca n Mauritius halafu wengine ambao mwaka mzima wanawaza kwenda vijijini kunywa pombe za kienyeji na kupiga picha wakiwa wameshika mahindi mabichi na vibuyu. Dunia ina mambo mangi sanaπŸ˜€
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
😳
 
Hii
Kuna wale wa kununua gari na leseni kwa pamoja utasikia nao wanataka kupiga trip ndefu.
Hii kidogo ichukue roho yangu baada ya kununua kibiskut( vitz) nikatoka nacho kuelekea moshi kutoka Dar.

Kidogo nifie pale Wami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…