Holocaust Genocide vs Gaza genocide

Holocaust Genocide vs Gaza genocide

kwa bahati mbaya sana, al jazeera wameharibu kabisa definition ya genocide. in fact, ukisoma genocide convention 1948, kinachotokea gaza sio genocide, ni war crimes na crimes against humanity. hata wewe uliyeandika hapa haujui.

Ni vizuri ukatupa maana ya genocide, tuanzie hapo kwanza.
 
Dunia ilipiga sana kelele na bado inamshutumu Hittler juu ya mauaji ya wayahudi pale Germany aka Holocaust.
Leo hii Ulaya manazi wanaonekana ni chukizo na wanaandamwa kila mahala juu ya mauaji waliyoyafanya ya wayahudi kwenye concentration camps.

Kwanini Dunia Iko kimya juu ya mauaji na unyanyasaji wa wapalestina pale Gaza?.
Kwanini Dunia inashindwa kuwakamata na kuwashitaki mayahudi Kwa mauaji ya wapalestina?
Lakini...!

Mbona kama tumekuwa tukisema Wayahudi wameyatimba hapa Gaza

Hii ya mauwaji kwa waarabu wa Gaza inatokea wapi tena
 
Back
Top Bottom