Homa Bay, Kenya: Afariki wakati wakifanya mapenzi kichakani

Homa Bay, Kenya: Afariki wakati wakifanya mapenzi kichakani

Itakua alimpigisha staili ya popo kanyea mbingu,wakajisahau wapo porini na sio chumbani,kichwa kikapigiza chini
 
Et wawili hao walionywa wasifanye hicho kitendo lakini hawakusia🤣🤣inamaana waliaza hizo issue tangu Kwa mama muuza au
 
Walee wakilewa zinakimbilia chini onyo hilo sasa
 
Miaka 48 Mshangazi unakimbizana vichakani na Mtoto wa 37 .
Kwasababu ya mtaU !

Upwiru unaenda kuwa janga la Taifa Kwa Vijana WA hovyo 🥴
 
Back
Top Bottom