Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Wakuu naomba msaada.
Nina homa kwa siku 4 sasa. Mwili unachemka, viungo vinauma, najisikia mchovu sana na sina hamu ya kula. Nimemaliza dozi jana usiku lakini bado sijapata nafuu.
Ningependa kujua kama kuna mtu amewahi kutumia natural remedies zilizomsaidia kupunguza homa, maumivu ya mwili, na kurejesha nguvu. Nimekuwa nikinywa maji mengi, nimekula matunda na kupumzika, lakini bado najisikia dhaifu sana.
Naomba mnishirikishe vitu vya asili vilivyowasaidia na jinsi mlivyovitumia.
Asanteni.