Homa Sugu & Uchovu: Natafuta Tiba Asili

Homa Sugu & Uchovu: Natafuta Tiba Asili

Tangawizi na Manjano: Chemsha viungo hivi kwenye maji ili kupata chai; vina sifa asili za kupunguza homa na uchochezi.
Asali Asili: Tumia kijiko kimoja cha asali kila siku ili kuongeza nishati na kuimarisha kinga ya mwili.
Ubuyu wa Kupikwa/Kusagwa: Changanya unga wa ubuyu kwenye maji; una Vitamini C kwa wingi inayosaidia kuondoa uchovu na kulinda seli.
Nashukuru Sana mkuu.
 
WhatsApp Image 2026-06-18 at 19.09.38.jpeg

WhatsApp Image 2026-06-18 at 19.09.40.jpeg

IJUE NGUVU YA UPONYAJI KWA KUTUMIA MWIHUNGE
(cryptolepsi sagguinolenta)

Ni Mmea wa dawa Unao patikana sana Afrika ya magharibu hasa Ghana , Nigeria pamoja na Tanzania kanda ya ziwa Victoria hasa Mkoa wa mwanza

Ujulikana zaidi kwa Matumizi ya kitamaduni katika kutibu kama
1= Malaria sugu
2= Maambukizi ya bakteria
3=Magonjwa ya tumbo UTI

Utafiti wa Kisayansi uliopo kwa Sasa unaonyesha kuwa Mmea huu wa Mwihunge una viambato hai kama cryptolepine,neocryptolepine na quindoline ambavyo vinauwezo wa kupambana na bakteria, vimelea na Uvimbe (anti inflammatory properties)

Kuna tafiti za Maabara (in vitro kwa wanyama)Zinazoonyesha Uwezo wa kupunguza uvimbe hivyo unauwezekano wa kusaidia kwenye Magonjwa kama arthritis kwa kiwango fulani

Mwihunge inaweza kusaidia kama tiba saizi kama

1=MALARIA SUGU
Matumizi ya Jadi ni moja ya Matumizi makuu zaidi barani Afrika hutumika kama mbadala wa dawa za malaria
Ushahidi wa Kisayansi Utafiti umeonyesha kiambato chake kikuu cryptolepine kina Uwezo wa kuua vimelea vya plasmodium

2=MAAMBUKIZI YA BAKTERIA NA FANGASI
Cryptolepsi ina anti bacterial na anti fungal properties, umeonyesha nguvu dhidi ya bakteria kama Staphylococcus aureus

3=MAGONJWA YA DAMU
Katika tiba za jadi hutumika Kusafisha damu au kutibu kuvimba kwa damu.
Utafiti Unaonyesha ina Uwezo kupunguza uvimbe (anti inflammatory)na anti oxidant hivyo inaweza kusudia katika kuimarisha afya ya damu kwa njia isiyo ya moja kwa moja

4=MAGONJWA YA MAUMIVU NA UVIMBE KAMA arthritis)
Tafiti kwa Wanyama zimeonyesha Uwezo wa kupunguza Maumivu na uvimbe

MAGONJWA YA NJIA YA MKOJO NA UZAZI
Mwihunge umetumika Kutibu Maambukizi ya njia ya mkojo UTI na matatizo ya hedhi, Tafiti chache zimeonyesha ina Uwezo wa kuua bakteria, kwenye njia ya mkojo,lakini pia kuna Ushahidi wa sumu kwa via vya uzazi ikitumiwa vibaya
Jina linalofahmika sana kisayansi ni Crypto lepis sagguinolenta ✅
 
View attachment 3610618
View attachment 3610620

Asante Kwa taarifa
 
Back
Top Bottom