Rudi hospitalHapana. Ni kama hali flani hivi ya kichef chef, viongo kuuma na uchovu ulio pindukia hata kumeza chakula naona tabu
Thread 'Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini' Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasiniNenda jukwaa la tiba asilia eleza tatizo lako au nenda duka la tiba asili humu hotopata msaada wote ni waumini wa hospitali.
Mkuu ungesoma Uzi ukaelewa, nimeomba mtu mwenye ujuzi wa tiba asilia anisaidie.Umeshamaliza Dozi
Ukimaanisha umepata vipimo na tiba ikapendekezwa na Umemaliza tayari.!
Ikiwa waliotumia vipimo na kukutibu wameshindwa unataka sisi tupige ramli ya kukuponya..!?