Homa Sugu & Uchovu: Natafuta Tiba Asili

Namshukuru Kwa ushauri mkuu.šŸ™
Kuna dogo ilikuwa kila siku ikifika jioni anapata homa kali anatetemeka, akijifunika blanket baada ya muda anaamka kapona,jamaa mmoja akasema dogo huogi ndio maana unaumwa kila siku, akalazimishwa kuoga na kweli akapona šŸ˜šŸ˜‚,serious and true story
 
Kwangu ni tofauti kidogo ila nitazingatia kabla sija lala
 
Kuna comment nimeitafuta sijaiona kabisa,
Mimi niulize kimoja tu, je ukilala usiku una sweat na kuloanisha shuka?
 
Kuna comment nimeitafuta sijaiona kabisa,
Mimi niulize kimoja tu, je ukilala usiku una sweat na kuloanisha shuka?
ILikua mwanzoni tu kipindi ndo naanza dozi. Sasa hivi ni kama joto lipo kwa mbali na uchovu mkubwa sana
 
Nina homa kwa siku 4 sasa. Mwili unachemka, viungo vinauma, najisikia mchovu sana na sina hamu ya kula.
Siku ukilijua hili hutapata tabu: Majira ya hewa yanapobadilika, mwili nao hubadilika kuendena na mazingira husika.

Hapa wenye kinga madhubuti hawapati shida sana.Utata kwa wale wenye kinga dhaifu! Homa,kupoteza hamu ya chakula, viungo kuuma n.k hutokea.

Kwa sasa tunaelekea msimu wa baridi, si watoto wala watu wazima wote wanaumwa, lilile fukuto la jana plus leo kama limekupita salama shukuru Mungu!

Hii dawa husaidia sana kwenye huu mchakato wa mwili!

​

Trump says he takes higher daily dose of aspirin than doctors recommend​


 
Asante Kwa taarifa mkuu
 
Kuna ugonjwa wa homa ya nyama unakuja na dalili kama hizo kacheki mkuu
 
Tangawizi na Manjano: Chemsha viungo hivi kwenye maji ili kupata chai; vina sifa asili za kupunguza homa na uchochezi.
Asali Asili: Tumia kijiko kimoja cha asali kila siku ili kuongeza nishati na kuimarisha kinga ya mwili.
Ubuyu wa Kupikwa/Kusagwa: Changanya unga wa ubuyu kwenye maji; una Vitamini C kwa wingi inayosaidia kuondoa uchovu na kulinda seli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…