Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #41
OhooooooHaa Dini Yake Inasema Kamari Haram
Hahaahahahapo kwenye hicho kijiwe ni kinondoni manyanya pale stand ya kwenda posta, karibu na jengo lake liitwalo tarimba house. kuna mateja kibao hapo alafu wengi wao ni madereva na wapiga debe. hapo kaenda kuzuga na kuwachora wazee njaa kali wa hapo manyanya.
Peter kabisa bado yupo hai?Mzee wangu jirani yangu mzee Peter kabisa ndy alituangusha
Wote waliyokuja wahuni,huyu tarimba mhuni tu
Haya sahv idd azzan anapiga jaramba arudi...
Yule mzungu bryson ndy alikuwa mbunge kinondoni
Ova
Noma sana π€£π€£π€£π€£π€£π€£Huyu Hapa ni Abbas Tarimba, Mbunge wa Kinondoni ambaye hajui hata alipataje Ubunge huo akijikuta kakaa kwenye kijiwe ambacho hata haelewi amefuata nini.
View attachment 3144282
Tarimba anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge duni kabisa wa Bunge la Tanzania, ambao ukiacha kuwapa Nauli Washabiki wa Yanga kwenda Uwanjani kushangilia Timu yao, Hakuna lolote analoweza kuwaonyesha Wapiga kura wake ili wamchague tena 2025.
Aliwahi kuwaambia Wapiga kura kwamba amejenga Barabara ya Kawawa, Tukamuuliza Mwishimiwa umejenga kutoka Chang'ombe hadi Kawe, Akazima MicPeter k
Peter kabisa bado yupo hai?
Hivi ni kafara au ilikuwa vifo vya kawaida?I feel sorry π π for him toka vijana wake 2 wafe kwa dengue fevers jamaa hajarudi kuwa sawa
Mbezi beach pale kinondoni alipauzagaPeter k
Peter kabisa bado yupo hai?
Tulimpigania sana mpk akachukua jimbo...wana kinondoniMaulid Mtulia, baada ya kujiuza na muhula wake kwisha, akataka tena kupitia CCM, Akalogwa vibaya sana!
Mhuni tu huyo...namjuwa vzrAiseeeee!!
ππππTulimpigania sana mpk akachukua jimbo...wana kinondoni
Wenye nguvu,influence walimpigania sana...ila ona alichokuja kufanya...nlikutana naye mahali miaka fulani nlimsemea mbovu..sasa sahv sjui karudi kufundisha madrasa
Ova
tutakwenda majimboni na tutajichanganya na wananchi popote walipo huko mitaani ndrani ndrani kibisa bila mbambamba ya mtu yeyote na kuwapa mrejesho wa ile kazi kubwa ya maendeleo imefanyika tayari kwa kipindi kilichopita na kuwaeleza ile mipango na mipangilio tuko nayo kwa miaka mitano ijayo πHuyu Hapa ni Abbas Tarimba, Mbunge wa Kinondoni ambaye hajui hata alipataje Ubunge huo akijikuta kakaa kwenye kijiwe ambacho hata haelewi amefuata nini.
View attachment 3144282
Tarimba anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge duni kabisa wa Bunge la Tanzania, ambao ukiacha kuwapa Nauli Washabiki wa Yanga kwenda Uwanjani kushangilia Timu yao, Hakuna lolote analoweza kuwaonyesha Wapiga kura wake ili wamchague tena 2025.
Tarimba mhuni tu hana jipyatutakwenda majimboni na tutajichanganya na wananchi popote walipo huko mitaani ndrani ndrani kibisa bila mbambamba ya mtu yeyote na kuwapa mrejesho wa ile kazi kubwa ya maendeleo imefanyika tayari kwa kipindi kilichopita na kuwaeleza ile mipango na mipangilio tuko nayo kwa miaka mitano ijayo π
Kuna kijana wa sasa hamfahamu huyu bwana ππMzee wa Kubetisha πΌ
Kuna jamaa yangu Muislam aliniambia kubet ni dhambi kubwa katika dini yao. Sasa nikashangaa mbona karibu kampuni zote za kubet Tanzania ni za kwao na hata mwenyekiti wa kampuni hizo ni Abbas....baadae nikasema ya wacha wafu wazike wafu waoMzee wa Kubetisha πΌ
Muheshimiwa mbunge sio muhini tafadhali sana@mrangi usipotoshe.Tarimba mhuni tu hana jipya
Ova
Mbona umepanic, ww ndio Tarimba nini?Wee acha uongo ! Tarimba ni bonge la mbunge tatizo mmezoea wale wanao sema ovyo kama msukuma ndo mana.Tarimba hata akiongea ni mwendo wa kutema madni tu na sio porojo kama za kina musukuma