Pre GE2025 Homa ya Uchaguzi yazidi Kupanda, Wabunge wajichanganya hata kwenye Maeneo ambayo waliyapuuza miaka yote

Pre GE2025 Homa ya Uchaguzi yazidi Kupanda, Wabunge wajichanganya hata kwenye Maeneo ambayo waliyapuuza miaka yote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
I feel sorry 😞 😐 for him toka vijana wake 2 wafe kwa dengue fevers jamaa hajarudi kuwa sawa
 
hapo kwenye hicho kijiwe ni kinondoni manyanya pale stand ya kwenda posta, karibu na jengo lake liitwalo tarimba house. kuna mateja kibao hapo alafu wengi wao ni madereva na wapiga debe. hapo kaenda kuzuga na kuwachora wazee njaa kali wa hapo manyanya.
Hahaahaha
 
Huyu Hapa ni Abbas Tarimba, Mbunge wa Kinondoni ambaye hajui hata alipataje Ubunge huo akijikuta kakaa kwenye kijiwe ambacho hata haelewi amefuata nini.

View attachment 3144282

Tarimba anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge duni kabisa wa Bunge la Tanzania, ambao ukiacha kuwapa Nauli Washabiki wa Yanga kwenda Uwanjani kushangilia Timu yao, Hakuna lolote analoweza kuwaonyesha Wapiga kura wake ili wamchague tena 2025.
Noma sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Peter k

Peter kabisa bado yupo hai?
Aliwahi kuwaambia Wapiga kura kwamba amejenga Barabara ya Kawawa, Tukamuuliza Mwishimiwa umejenga kutoka Chang'ombe hadi Kawe, Akazima Mic
 
Maulid Mtulia, baada ya kujiuza na muhula wake kwisha, akataka tena kupitia CCM, Akalogwa vibaya sana!
Tulimpigania sana mpk akachukua jimbo...wana kinondoni
Wenye nguvu,influence walimpigania sana...ila ona alichokuja kufanya...nlikutana naye mahali miaka fulani nlimsemea mbovu..sasa sahv sjui karudi kufundisha madrasa

Ova
 
😆😆😆😆
 
Huyu Hapa ni Abbas Tarimba, Mbunge wa Kinondoni ambaye hajui hata alipataje Ubunge huo akijikuta kakaa kwenye kijiwe ambacho hata haelewi amefuata nini.

View attachment 3144282

Tarimba anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge duni kabisa wa Bunge la Tanzania, ambao ukiacha kuwapa Nauli Washabiki wa Yanga kwenda Uwanjani kushangilia Timu yao, Hakuna lolote analoweza kuwaonyesha Wapiga kura wake ili wamchague tena 2025.
tutakwenda majimboni na tutajichanganya na wananchi popote walipo huko mitaani ndrani ndrani kibisa bila mbambamba ya mtu yeyote na kuwapa mrejesho wa ile kazi kubwa ya maendeleo imefanyika tayari kwa kipindi kilichopita na kuwaeleza ile mipango na mipangilio tuko nayo kwa miaka mitano ijayo 🐒
 
Tarimba mhuni tu hana jipya

Ova
 
Mzee wa Kubetisha 🐼
Kuna jamaa yangu Muislam aliniambia kubet ni dhambi kubwa katika dini yao. Sasa nikashangaa mbona karibu kampuni zote za kubet Tanzania ni za kwao na hata mwenyekiti wa kampuni hizo ni Abbas....baadae nikasema ya wacha wafu wazike wafu wao
 
Tarimba mhuni tu hana jipya

Ova
Muheshimiwa mbunge sio muhini tafadhali sana@mrangi usipotoshe.

Kiongozi yupo eneo lake la uwakilishi pamoja na wapiga kura wake. Nini tatizo hapo mathalani?🐒
 
Wee acha uongo ! Tarimba ni bonge la mbunge tatizo mmezoea wale wanao sema ovyo kama msukuma ndo mana.Tarimba hata akiongea ni mwendo wa kutema madni tu na sio porojo kama za kina musukuma
Mbona umepanic, ww ndio Tarimba nini?
 
Back
Top Bottom