Home makers: Beauty and stylish

Unaagiza toka wapi Mkuu? Turkey au China kwenyewe? Lakini kupamba kwingi unaweza ukahama nyumba usiku ukarejea asubuhi
Hahaha mapambo yawe machache mazuri na yawe kwenye mpangilio ndio nyumba itavutia.. Naagiza China
 
Yaani nikiona maua moyo wangu unaburudika, my fav thing to do on weekends ni kuangalia maua, kubadilisha set ups ya garden, kufanya replacements yaani ninahangaikaga nayo mpaka
Naomba maua aisee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…