Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nitapata sofa hii kwa Dar.? Iwe ya Imported na siyo hizi za bongo
Unaagiza toka wapi Mkuu? Turkey au China kwenyewe? Lakini kupamba kwingi unaweza ukahama nyumba usiku ukarejea asubuhiLazima kubalance kwa wahitaji toa lakini mahali pazuri pa kuishi ni muhimu pia.. After all Pakawa hivi ninavyopost ukiagiza mwenyewe sio ghali kabisa
Yaani nikiona maua moyo wangu unaburudika, my fav thing to do on weekends ni kuangalia maua, kubadilisha set ups ya garden, kufanya replacements yaani ninahangaikaga nayo mpaka
Naomba maua aisee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Yaani nikiona maua moyo wangu unaburudika, my fav thing to do on weekends ni kuangalia maua, kubadilisha set ups ya garden, kufanya replacements yaani ninahangaikaga nayo mpaka
Kumbe nawe upo addicted a mauaNaomba maua aisee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]