Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui unakwama wapi wakati rasilimali zote unazoHahhaha lakini ni kweli ujue[emoji3]
Hii inafaa sana mwanza
Pole sana kaka, fanya juhudiNadhani nimezidiwa maarifa
Maisha yanatupa machaguo mengi sana Pakawa usichokipenda wewe hakimaanishi na mwengine hatokipenda vile vile.. Ni haki ya kila mmoja kuchagua anachokihitaji, na pia kuna watu wanagharamika hivi na bado wanatunza yatima na wenye uhitaji vile vile..Huwa najiuliza Kwa nini kugharamia kiasi hiki?
Ni pambo la macho au ni uhitaji
Kwani nyumba haiwezi kuwa simple
Well Wachina wanajua kuvuna pesa
Tuwatunze Yatima na Maskini tujiwekee hazina
Ndio maana nimeulizaMaisha yanatupa machaguo mengi sana Pakawa usichokipenda wewe hakimaanishi na mwengine hatokipenda vile vile.. Ni haki ya kila mmoja kuchagua anachokihitaji, na pia kuna watu wanagharamika hivi na bado wanatunza yatima na wenye uhitaji vile vile..