Home makers: Beauty and stylish

Home makers: Beauty and stylish

Screenshot_20211210-122232.jpg
Screenshot_20211210-122215.jpg
 
Huwa najiuliza Kwa nini kugharamia kiasi hiki?
Ni pambo la macho au ni uhitaji
Kwani nyumba haiwezi kuwa simple
Well Wachina wanajua kuvuna pesa
Tuwatunze Yatima na Maskini tujiwekee hazina
Maisha yanatupa machaguo mengi sana Pakawa usichokipenda wewe hakimaanishi na mwengine hatokipenda vile vile.. Ni haki ya kila mmoja kuchagua anachokihitaji, na pia kuna watu wanagharamika hivi na bado wanatunza yatima na wenye uhitaji vile vile..
 
Ndio maana nimeuliza
Ni uhitaji au kuna lingine
Natambua wapo wanaofanya hayo kutunza yatima na mengineyo but laiti tungelijua yatupasayo...... malizia mwenzangu
 
Back
Top Bottom