jina kamili: Associazione Calcio Milan.
a.k.a: Rossoneli ''red & black'', Diavolo ''the Devil''.
Kuanzishwa: 16/dec/1899.
Uwanja: Sansiro Meazza.
Uwezo: unabeba watu 80,074...
Mwenyekiti: Silvio Berlusconi.
Makamu mwenyekiti: Adriano Galiani.transer manager: Adriano Galiani
Director: Adriano Galiani.
Kiongozi wa misafara: Adriano Galiani.
Kiongozi wa mashabiki: Adriano Galiani.
Msemaji wa timu: Adriano Galiani
Kocha: super Sinisa Mihajlovic.
kocha msaidizi bado anatafutwa.
Nahodha; Ricardo Montolivo.
Daktari: Mauro Gevi.
Ac Milan ni klabu kubwa na yenye mafanikio ya kimataifa zaidi ya timu yoyote ile hapa Duniani.
AC Milan ilianzishwa na waingereza wawili Alfred Edward na Albert kilpin ktk mwaka huo wa 1899 ambapo makao makuu ya klabu yalikuwa Fiaschetteria Toscana ktk Barabara ya Beschet hapahapa Milan
Mpaka sasa Milan ndio klabu inayoongoza kwa mafanikio ya kimataifa ikiwa imekusanya
Intercontinental cup mara 4
European super cups mara 5
Cup winner cup mara 2
UEFA champions league mara 7.
Pia Milan imebeba ndoo 18 za ligi kuu ya Italia maarufu kama Scudeto.
TO BE CONTINUA...