Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

siku hii nilifurahiiii saaaaaaaana kwanza messi alifungua net kwa goli saaaaaf na la mapema nazani ilikuwa dakika ya 6 Gang Chomba UPOOOOO

Mimi hili goli la kwanza nilimvulia kofia Messi na wala sikushangilia, lile la pili ndo nikainuka kwa kelelw
 
Last edited by a moderator:
Monaco wanamchukua El sharaawy(es92) wetu kwa €18. Katika pesa hizo italipwa kwanza €2 kama ada ya mkopo wa msimu mmoja, na kama idadi ya mechi atakazocheza monaco zikifika 15 ndipo watakapomchkua jumla kwa kumalizia €16
 
biashara kichefuchefu hio...
il Farao alitakiwa awepo kwenye project hii ya sasa ya Milan.
 
biashara kichefuchefu hio...
il Farao alitakiwa awepo kwenye project hii ya sasa ya Milan.

Kiukweli milanista wengi tumeshangazwa na hilo. Nadhani el pharaoh mwenyewe hakuwa tayar kuchezeshwa kama kiungo kama ambavyo mihajlovic na berlusconi walifkiria kumtumia. Sasa nna wasiwasi na future ya vijana wengine kama hachim mastour, ambae future yake ktk klabu ya ac milan imeonekana kua matatan tangu alipochagua kuchezea timu ya taifa morocco badala ya italia
 
dah kila kona ukipita watu wanakataa katakata hoja ya Machim Mastour kupigwa mnada...
ila let us wait n see
 
dah kila kona ukipita watu wanakataa katakata hoja ya Machim Mastour kupigwa mnada...
ila let us wait n see

Hachim ana kipaji sana, na nimefurahi sana kuona kachezeshwa kwenye hizo pre season tulizopiga mtu 5 kila moja, na hii ya juzi alifunga goli safi sana...ni vyema sana akiendelea kuwepo milan
 
ac-milan.jpg

jina kamili: Associazione Calcio Milan.
a.k.a: Rossoneli ''red & black'', Diavolo ''the Devil''.
Kuanzishwa: 16/dec/1899.
Uwanja: Sansiro Meazza.
Uwezo: unabeba watu 80,074...
Mwenyekiti: Silvio Berlusconi.
Makamu mwenyekiti: Adriano Galiani.transer manager: Adriano Galiani
Director: Adriano Galiani.
Kiongozi wa misafara: Adriano Galiani.
Kiongozi wa mashabiki: Adriano Galiani.
Msemaji wa timu: Adriano Galiani
Kocha: super Sinisa Mihajlovic.
kocha msaidizi bado anatafutwa.
Nahodha; Ricardo Montolivo.
Daktari: Mauro Gevi.

Ac Milan ni klabu kubwa na yenye mafanikio ya kimataifa zaidi ya timu yoyote ile hapa Duniani.

AC Milan ilianzishwa na waingereza wawili Alfred Edward na Albert kilpin ktk mwaka huo wa 1899 ambapo makao makuu ya klabu yalikuwa Fiaschetteria Toscana ktk Barabara ya Beschet hapahapa Milan

Mpaka sasa Milan ndio klabu inayoongoza kwa mafanikio ya kimataifa ikiwa imekusanya
Intercontinental cup mara 4
European super cups mara 5
Cup winner cup mara 2
UEFA champions league mara 7.

Pia Milan imebeba ndoo 18 za ligi kuu ya Italia maarufu kama Scudeto.

TO BE CONTINUA...
Masahahisho palipopigiwa mstari With 18 officially recognised UEFA and FIFA titles, they are the second most successful club in the world in terms of number of international titles, together with Boca Juniors and Real Madrid C.F., and behind Al Ahly SC with twenty titles.[SUP][5][/SUP][SUP][6][/SUP][SUP][7][/SUP] Milan has won a record of three Intercontinental Cups and one of its successor, the FIFA Club World Cup.[SUP][7][/SUP] Milan have also won the European Cup/Champions League on seven occasions,[SUP][7][/SUP] second only to Real Madrid.[SUP][8][/SUP] They have also won the UEFA Super Cup a record five times and the Cup Winners' Cup twice.
 
Luiz Adriano has arrived in Milan to join pre-season training, and says he chose the Rossoneri over ‘many other clubs’. The striker has moved to the Stadio Giuseppe Meazza from Shakhtar Donetsk, and spoke briefly to fans and journalists on his arrival at Malpensa airport.
 
We are ac milan...forza milan
 
AC Milan coach Sinisa Mihajlovic has been planning his defence for the upcoming season if a move for Roma’s Alessio Romagnoli fails, but it is unlikely to feature Alex or Philippe Mexes.
 
Back
Top Bottom