Home of AC Milan, Official Thread

PhD 💪💪💪💪💪
 
Kama mlipigwa moja bila au.mmesuluhu au hamkupewa red mimi nahamia rasmii Ac milan Frank Wanjiru jembe langu la ukawa njoo na huku unipe matokeo
 
Last edited by a moderator:
Kama mlipigwa moja bila au.mmesuluhu au hamkupewa red mimi nahamia rasmii Ac milan Frank Wanjiru jembe langu la ukawa njoo na huku unipe matokeo

Ahaahahahahahahhahahahahahhahahahahahaha, yaani hapa napiga mswaki kisha pembeni kuna gazeti limeandika habari za AC Milan, ngoja nisukutue kisha uchafu niutupie kwenye Gazeti. Ptuuuuuuuuuuuuuu!!!
 
Last edited by a moderator:
Ahaahahahahahahhahahahahahhahahahahahaha, yaani hapa napiga mswaki kisha pembeni kuna gazeti limeandika habari za AC Milan, ngoja nisukutue kisha uchafu niutupie kwenye Gazeti. Ptuuuuuuuuuuuuuu!!!
Ha ha ha haaa haaa haaaa ha aha ha ha. Ah aA
 
Mario Balotelli atua AC Milan kufanya vipimo vya afya.
 
Wakuu mbona sijawaona kwenye makundi UEFA kubwa, mpo kundi gani kwani?
 
Wakuu mbona sijawaona kwenye makundi UEFA kubwa, mpo kundi gani kwani?

Huu sasa uchokozi. Milan kwa sasa imebaki jina. Hawana tofauti na jibwa koko lisilo na meno. Itawachukuwa muda kurudia katuka hali ya kawaida.
 
Gang Chomba, habari za cku Mkuu. Hongera kwa ushindi wa Jana. Huu mwaka wenu kwani kule mtaa wa pili tayari bundi kashatua. Wanaendelea kuadhibiwa.
 
Last edited by a moderator:
Uzuri serie-a sio mbio za m100. Vijana wangu wakianza kushinda ni mwanzo mwisho ushindi. Ngojeni pogba, lemina, dyabala, pereyla, marchisio, mandzukic wawe kwenye ubora wao.
 
Uzuri serie-a sio mbio za m100. Vijana wangu wakianza kushinda ni mwanzo mwisho ushindi. Ngojeni pogba, lemina, dyabala, pereyla, marchisio, mandzukic wawe kwenye ubora wao.

heh heh heh heh Pirlo made Juve...
hao uliowataja mavi matupu
 
Ndio mshinde hyo game. Sio tena tutoke mkiani tujekuchukua kombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…