Home of AC Milan, Official Thread

Mleta mada katoka chooni bila kuchamba, mimi nilivyoonza kuisoma ty Thread na maneno yake nikajua tu kuwa huyu ni Gang Chomba.
Kama ubora wa timu ya Milan ni kuifunga Barca bao 4, mbona wao msimu wa 2012 washapata hiko kipigo Camp Nou!?
 
mkuu tutake radhi BARCELONA huwez ifananisha na milan wala na liverfool pia huwez ifananishwa na timu kila msimu inabadil kocha KIUFUP BARCELONA HAIFANANISHWI NA TIMU YEYOTE ILE DUNIANI VIVA WAZEE WA TREBO
Hawa wahuni wanaishusha hadhi Barca, siku Yanga au Simba ikichukua kombe la Club bingww Africa basi watazifananisha na Barca.
 
Mleta mada ngoja na mimi nikujibu!

1. Mashabiki wa sasa tunaibeza Milan kwa kuwa hakuna ikifanyacho, yaani squad ni mbovu na mpira ni mbovu. Kwanini unajivunia historia wakati kwa sasa hakuna ufanyacho. Mkishuka daraja bado utajivunia Historia?

2. Kitu cha muhimu ktk soka ni Soka safi (kama Barca, Man City, Bayern n.k) Magoli (Madrid, Bayern, Barca n.) na Makombe (Barca, Man City, Bayern, PSG n.k). Hiyo Historia ni yako sababu watu tunaangalia mbele wala sio nyuma, ukitaka kubeba makombe jitazame sasa ulivyo kisha itazame na kesho na SIO kuangalia Historia. Kama unatazama Historia basi sajilini wachezaji wakubwa kama zamani, si mna historia wachezaji wakubwa kucheza hapo? Bebeni pia na makombe kama zamani, tumieni historia hiyohiyo kubeba makombe.

3. Hiko kipigo cha mbwa koko alichopata Barca kwa Milan, unadhani Barca hakumpa hiko kipigo Milan!? Hivi unajua baada ya Barca kumpa Milan hiko kipigo Milan wakaamua wasirudi tena mpaka UEFA, na ni kweli mpaka leo hajarudi. Kwa statistic, ni nani kati ya Barca na Milan anaongoza kumfunga mwenzie!?

4. Kutwaa tuzo bora na ubora wa timu tuviweke pembeni, maana timu kama Barca tangu 2007 inaingiza mchezaji au wachezaji ndani 3 bora na mara 5 mchezaji wao kabeba.

5. Hizo tripo R zote zimecheza Barca pia ila nasikitika kusema kuwa hizo Tripple R zilikuja Milan zikiwa zimechoka. Ronaldinho kaja Milan akiwa kachoka baada ya kutemwa na Barca, De Lima kaenda Milan akiwa kachoka japo sio sana kama Gaucho, na Rivaldo hivyo hivyo.

6. Milan mnajisifu kumficha Ronaldo ndani ya dakika 45!?
-Barca aliificha Man U timu nzima ndani ya dakika 80, hii ilikuwa final ya UEFA pale Ufaransa, hakuonekana Rooney wala Ronaldo wala ile mido yao inayoitwa Paul Scholes.
-Barca pekee iliwahi kumtetemesha Sir Alex pale kwake England, akwa anatetemeka kama anaumwa Dengu!!!

UKIWA UNAANDAA THREAD ZA KINAZI KAMA HIZI UJIPANGE.

****** Aleyn ******
 
Sawa Barcelona Bora Lakni Cyo Kwa Chelsea Ata Kama Mbovu Vp
 
Sitaki niumize vidole vyangu Ac Milan ni sawa na akina liverpool na barca klabu boora milele ni Real Madrid UCL mara 10 wkt Milan mara 5, hii haiitaji elimu na ujuzi kujua ipi ni bora.

nenda jukwaa la mapishi maana hata soka hulijui.
kama leo hii unaripoti kuwa Milan wana ndoo 5 basi huna tofauti na Nape asiejuwa kirefu wala maana ya TFF
 
umeongea kiunaz sana ila uju hao kina van basten wangekutana na barca ya messi wangepigwa 9-0

heh heh heh futa povu mja wa Mola...
Barca hio ya Nesi si ndio ile ilikula goli 7-0 on agg na Bayern?
 

mueleze huyo...
anakurupuka tu ma mifano isio hai
 

hah hah hah kumbe Barca keshamfunga Milan 5-0?
ilikuwa ni fainali au?
na je ilikuwa mwaka gani?
 
ingekuwa ni ngumu BARCA kuchukua UEFA kipind hiko sababu hata ww ulukuwa hujazaliwa pia jua kuwa klabu yenye mafanikio kupita zote duniani ni FC BARCELONA


heh hh heh fafanua mjomba...
mafanikio hayo ni yapi?
ni tuzo za Nesi ama?
 

mwenye kujuwa mpira ataelewa kwanini Milan ni Baba la soka...

kilichoandikwa hapo ni kitu ambacho kimetokea na Milan walishakitenda..mnyie mnakuja na kujitetea na kauli zenu mfu eti wange mara sijui inge mara sijui kunge....

ha hah ha hah wekeni kitu kilichopo na sio kuweka habari za kusadikika
 
Sitaki niumize vidole vyangu Ac Milan ni sawa na akina liverpool na barca klabu boora milele ni Real Madrid UCL mara 10 wkt Milan mara 5, hii haiitaji elimu na ujuzi kujua ipi ni bora.
 

Attachments

  • 1454059216311.jpg
    23.4 KB · Views: 33

hah ha hah yaani kwenye thread Liverpool katajwa, Man U katajwa, Bayern katajwa Madrid katajwa ila haka katimu kalikoibuka 2006 dah washabiki wake wana taabu sana.

ikumbukwe Barca iliomfunga Arsenal ambayo Dinho ndio aliifufua kimiujiza ilikuwa haijapata kubeba ubngwa wa ulaya tangu mwaka 92 na fainali yao ya mwisho kucheza ni ya mwaka 94 pale ilipoinama na kukubali kipigo cha mbwa koko cha goli 4-0 toka kwa Rossoneri au AC Milan
 
mkuu tutake radhi BARCELONA huwez ifananisha na milan wala na liverfool pia huwez ifananishwa na timu kila msimu inabadil kocha KIUFUP BARCELONA HAIFANANISHWI NA TIMU YEYOTE ILE DUNIANI VIVA WAZEE WA TREBO
Barca forever
 

Attachments

  • 1454059778513.jpg
    23.4 KB · Views: 25

nakushauri nenda veta kajifunze ushonaji uwe kama Martin Kadinda...

wenzako wanaojuwa maana ya mafanikio wamenyamaza kimyaa mana wanajuwa hapa tunaizungumzia Milan, Bayern,Barca, Man UTD hivyo tutashindanisha makombe ambayo wamekutana na sio kutuletea makombe ya ndani "domestic trophy"...

Milan hachezi la Liga wala Barca hachezi Serie A so hapa yanazungumziwa makombe kama Champions league, uefa super cup, uefa cup, na klabu bingwa ya dunia.

ujifunze, siku nyingine ukikurupuka nakuripoti upigwe BAN
 
Mleta mada katoka chooni bila kuchamba, mimi nilivyoonza kuisoma ty Thread na maneno yake nikajua tu kuwa huyu ni Gang Chomba.
Kama ubora wa timu ya Milan ni kuifunga Barca bao 4, mbona wao msimu wa 2012 washapata hiko kipigo Camp Nou!?

swali je ilikuwa hatua gani?
je ilikuwa ni fainali?
 
heh heh heh futa povu mja wa Mola...
Barca hio ya Nesi si ndio ile ilikula goli 7-0 on agg na Bayern?
mkuu hapo ndo mnapokosea ubora wa timu huwezi kuungalia kwa mechi 2 au 1 angalia consistent uwezo wa kuendelea kutawala miaka mingi,mbona hiyo bayern wakiwa na hao nyota wao, nao walichezea kipigo cha 5-0 agg toka kwa madrid ambayo huwa inanyanyaswa na barca
inabidi ukubali mkuu kwa miaka kumi iliyopita hakuna kama barca na hilo ndo linalodhihirisha ubora wao,hiki kizaz cha barca ni level nyingine mkuu hata kama hutak ila ukweli utabakia hivyo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…