Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

nakushauri nenda veta kajifunze ushonaji uwe kama Martin Kadinda...

wenzako wanaojuwa maana ya mafanikio wamenyamaza kimyaa mana wanajuwa hapa tunaizungumzia Milan, Bayern,Barca, Man UTD hivyo tutashindanisha makombe ambayo wamekutana na sio kutuletea makombe ya ndani "domestic trophy"...

Milan hachezi la Liga wala Barca hachezi Serie A so hapa yanazungumziwa makombe kama Champions league, uefa super cup, uefa cup, na klabu bingwa ya dunia.

ujifunze, siku nyingine ukikurupuka nakuripoti upigwe BAN
uniripot jamii forum ya babako au mke wako
 
sipo veta nipo chuo kikuu nasomea udaktar af io sio domestic trophy ni european trophy usikurupuke kisa na elim yako Ya mkopo
 
Mleta mada ngoja na mimi nikujibu!

1. Mashabiki wa sasa tunaibeza Milan kwa kuwa hakuna ikifanyacho, yaani squad ni mbovu na mpira ni mbovu. Kwanini unajivunia historia wakati kwa sasa hakuna ufanyacho. Mkishuka daraja bado utajivunia Historia?

2. Kitu cha muhimu ktk soka ni Soka safi (kama Barca, Man City, Bayern n.k) Magoli (Madrid, Bayern, Barca n.) na Makombe (Barca, Man City, Bayern, PSG n.k). Hiyo Historia ni yako sababu watu tunaangalia mbele wala sio nyuma, ukitaka kubeba makombe jitazame sasa ulivyo kisha itazame na kesho na SIO kuangalia Historia. Kama unatazama Historia basi sajilini wachezaji wakubwa kama zamani, si mna historia wachezaji wakubwa kucheza hapo? Bebeni pia na makombe kama zamani, tumieni historia hiyohiyo kubeba makombe.

3. Hiko kipigo cha mbwa koko alichopata Barca kwa Milan, unadhani Barca hakumpa hiko kipigo Milan!? Hivi unajua baada ya Barca kumpa Milan hiko kipigo Milan wakaamua wasirudi tena mpaka UEFA, na ni kweli mpaka leo hajarudi. Kwa statistic, ni nani kati ya Barca na Milan anaongoza kumfunga mwenzie!?

4. Kutwaa tuzo bora na ubora wa timu tuviweke pembeni, maana timu kama Barca tangu 2007 inaingiza mchezaji au wachezaji ndani 3 bora na mara 5 mchezaji wao kabeba.

5. Hizo tripo R zote zimecheza Barca pia ila nasikitika kusema kuwa hizo Tripple R zilikuja Milan zikiwa zimechoka. Ronaldinho kaja Milan akiwa kachoka baada ya kutemwa na Barca, De Lima kaenda Milan akiwa kachoka japo sio sana kama Gaucho, na Rivaldo hivyo hivyo.

6. Milan mnajisifu kumficha Ronaldo ndani ya dakika 45!?
-Barca aliificha Man U timu nzima ndani ya dakika 80, hii ilikuwa final ya UEFA pale Ufaransa, hakuonekana Rooney wala Ronaldo wala ile mido yao inayoitwa Paul Scholes.
-Barca pekee iliwahi kumtetemesha Sir Alex pale kwake England, akwa anatetemeka kama anaumwa Dengu!!!

UKIWA UNAANDAA THREAD ZA KINAZI KAMA HIZI UJIPANGE.

****** Aleyn ******

heh heh heh nimeipenda hio namba 5.
na hapo ndipo nagundua kuwa ushabiki wako umeanzia pale Dinho alipoanza kutenda maajabu.

nikufundishe historia usioijuwa.
hivi unajuwa kuwa ilimlazimu Figo ahame Barca ili kwenda kubeba champions league?

hivi una habari Rivardo Victor Borba Fereirra ilibidi ahamie AC Milan akitokea Barca ili aje afanikiwe kubeba Champions League?

sasa jiulize Barca hio iliokimbiwa na majemadari kama hao ilikuwaje?

ndo maana nikakukumbusha tu tokea 1992 mpaka 2006 ndio Barca walibeba tena champions League.

na kutoka 1994 mlipopakatwa na Milan na kufungwa 4-0 katika fainali ndio mlipotea kama misukule mpaka pale Dinho mtenda miujiza alipokuja kuwarudisha tena.

so ifuatilie kwanza Barca uijue kisha ndio uje hapa kujibalaguza
 
mkuu hapo ndo mnapokosea ubora wa timu huwezi kuungalia kwa mechi 2 au 1 angalia consistent uwezo wa kuendelea kutawala miaka mingi,mbona hiyo bayern wakiwa na hao nyota wao, nao walichezea kipigo cha 5-0 agg toka kwa madrid ambayo huwa inanyanyaswa na barca
inabidi ukubali mkuu kwa miaka kumi iliyopita hakuna kama barca na hilo ndo linalodhihirisha ubora wao,hiki kizaz cha barca ni level nyingine mkuu hata kama hutak ila ukweli utabakia hivyo,

acha kutia huruma wewee...
Milan wana champions league 7 haya hao Bakwa wako?
 
sipo veta nipo chuo kikuu nasomea udaktar af io sio domestic trophy ni european trophy usikurupuke kisa na elim yako Ya mkopo

kama unasomea udaktari basi ndio maana viongozi wanakwenda kutibiwa nje.

na hiko chuo kikuu mna haki ya kuongozwa na Kikwete.

ngoja nikufundishe sasa, hayo ni jumla ya makombe yote ambayo timu imebeba, yaani ya ndani na ya kimataifa.

hapo namaanisha kwa mfano Madrid amebeba la liga ngapi, kombe la mfalme ngapi, super cup ya spain ngapi, jumlisha champions league, uefa cup, super cup na klabu bingwa ya Dunia.

natumai umenielewa mtoto mzuri.
 
kwani hujui?
kwanza omba radhi, la sivyo ntakupiga BAN urudi hukohuko Facebook mkapeane umbea wa Wema Sepetu.
ukija JF uwe na adabu na heshima kwa AC Milan...

umenielewa?
Siombi radhi kenge ww kama una ban we ban Taarifa unatoa ya nn Ac Milan ahieshim babako mm naiheshim barcelona ukimaind kunya boga au kapime tezi dume
 
kama unasomea udaktari basi ndio maana viongozi wanakwenda kutibiwa nje.

na hiko chuo kikuu mna haki ya kuongozwa na Kikwete.

ngoja nikufundishe sasa, hayo ni jumla ya makombe yote ambayo timu imebeba, yaani ya ndani na ya kimataifa.

hapo namaanisha kwa mfano Madrid amebeba la liga ngapi, kombe la mfalme ngapi, super cup ya spain ngapi, jumlisha champions league, uefa cup, super cup na klabu bingwa ya Dunia.

natumai umenielewa mtoto mzuri.
Na hua Siombi radhi kiboya boya tu aisee
 
Siombi radhi kenge ww kama una ban we ban Taarifa unatoa ya nn Ac Milan ahieshim babako mm naiheshim barcelona ukimaind kunya boga au kapime tezi dume

hah hah hah haya futa machozi kisha paka vizuri wanja...hah hah hah
 
acha kutia huruma wewee...
Milan wana champions league 7 haya hao Bakwa wako?
barca ndani ya miaka 10 iliopita ina champions league 4 unataka ufundishwe vp wewe ili ukiri ubora wao
afu hata hao mashabiki wa barca unaosema wameanza kuipenda barca mwaka 2006 acha waipende hata kama barca hii ingeibuka jana mtu anaejua soka ni nini ataipenda tu,
alichotuuzi huyo mtoa post ni kusema milan ndo timu bora milele wakati dunia nzima inajua hakuna kizaz cha kutandaza kabumbu kilichotokea mfano wa hawa la masia
sahau kuhusu brazil ya pele,total football ya holland,milan ya van basten had weah,kizaz hiki cha bayern ya thomas muller na wengine wote
tunachokueleza ni kuwa hiki kizaz cha gaucho xavi iniesta messi ndiyo haswa kilichotupa mashabiki wa soka ulimwengun burudan ya soka hao wengine wasifiane sababu ya unazi wenu tu na wala sio ubora wa kutandaza soka
 
nakushauri nenda veta kajifunze ushonaji uwe kama Martin Kadinda...

wenzako wanaojuwa maana ya mafanikio wamenyamaza kimyaa mana wanajuwa hapa tunaizungumzia Milan, Bayern,Barca, Man UTD hivyo tutashindanisha makombe ambayo wamekutana na sio kutuletea makombe ya ndani "domestic trophy"...

Milan hachezi la Liga wala Barca hachezi Serie A so hapa yanazungumziwa makombe kama Champions league, uefa super cup, uefa cup, na klabu bingwa ya dunia.

ujifunze, siku nyingine ukikurupuka nakuripoti upigwe BAN
Ahahahahahahahahahaha!!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
heh heh heh nimeipenda hio namba 5.
na hapo ndipo nagundua kuwa ushabiki wako umeanzia pale Dinho alipoanza kutenda maajabu.

nikufundishe historia usioijuwa.
hivi unajuwa kuwa ilimlazimu Figo ahame Barca ili kwenda kubeba champions league?

hivi una habari Rivardo Victor Borba Fereirra ilibidi ahamie AC Milan akitokea Barca ili aje afanikiwe kubeba Champions League?

sasa jiulize Barca hio iliokimbiwa na majemadari kama hao ilikuwaje?

ndo maana nikakukumbusha tu tokea 1992 mpaka 2006 ndio Barca walibeba tena champions League.

na kutoka 1994 mlipopakatwa na Milan na kufungwa 4-0 katika fainali ndio mlipotea kama misukule mpaka pale Dinho mtenda miujiza alipokuja kuwarudisha tena.

so ifuatilie kwanza Barca uijue kisha ndio uje hapa kujibalaguza
Na Gaucho alikuja Milan kufata nini!? Mbona humtaji De Lima alikuja kufanya nini!? Wote hao walienda huko kipindi washachoka.
 
Back
Top Bottom