Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

CHELSEA tuliyoipiga 5:0 au ipi hiyo??
Ahahahahahahaha anazungumzia Chelsea yenye UEFA 1.
Ahahahahahahaha!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
it was 5-1......period
hyo 5:1 ni juz tu ila chelsea tushamnyoosha 5:0 camp nou NA NDIO MANA NASHANGAA MNAVYOSEMA TIMU ILIYOWAI NUNULIWA KWA DOLA MOJA YANI 2400 ni wababe wetu[emoji12] [emoji12]
 
ilikuwa ni fainali?
na je ilkuwa uefa cup au champions league?

ha hah ha hah mnapiga chafya ya ugolo leo
Hyo ilikuwa robo fainal mechi ya kwanza ITALY mlikalia 2:0 Alafu mechi ya pili pale camp nou ac milan ikala 5:1 JUMLA 7[emoji13] ngoja niishie hapo maana nisijekuumbua zaid na hilo team lako bibi kizee[emoji634]
 
Ac Milan washaisha wamechoka wametepeta, halafu kama ni UEFA Mtoa mada unajua nani Ana makombe mengi Real Madrid Ana makombe 10 Milan Wana 7 wasifie Madrid kua ndio timu bora. Unatamba nini kama unatambia kikosi bora Hawa wakina Messi na Iniesta wameiweka kwenye ramani Barcelona ndani ya kipindi kifupi kutoka kua na UEFA moja Mpaka 5 wewe Unataka kulazimisha Barca ya kina Romario waliopata UEFA Moja ndio Kali kuliko hii, ukweli ni kua Barca tunayoishuhudia ya Messi ni balaa na hawajamaliza maangamizi still on mission just watch and enjoy what they do on the pitch
 
heh heh heh sasa mbona ile ya akina Romario na Stoichkov na Sergi Bajuan na Subizareta na Nadal na Gualdiola ndio inaitwa Dream team ya Barca?
 
Yale yalikua ni mafanikio makubwa kwa Mara ya Kwanza enzi hizo ndio maana ikaitwa dream team lakini Barcelona ya sasa bado sio historia bado wapo on mission ukimuona Messi bado Ana njaa ya mafanikio tutawasifu Barca ikichoka kama Milan miaka hiyo kama ikitokea kuchoka, kwa sasa tunatazama burudani safi
 
Hyo ilikuwa robo fainal mechi ya kwanza ITALY mlikalia 2:0 Alafu mechi ya pili pale camp nou ac milan ikala 5:1 JUMLA 7[emoji13] ngoja niishie hapo maana nisijekuumbua zaid na hilo team lako bibi kizee[emoji634]

enzi hizo hakuna kona...beki akizidiwa anatoa tu nje inakuwa goal kick...
hah hah hah ha hah hah hah
 
Yale yalikua ni mafanikio makubwa kwa Mara ya Kwanza enzi hizo ndio maana ikaitwa dream team lakini Barcelona ya sasa bado sio historia bado wapo on mission ukimuona Messi bado Ana njaa ya mafanikio tutawasifu Barca ikichoka kama Milan miaka hiyo kama ikitokea kuchoka, kwa sasa tunatazama burudani safi

heh heh heh na kweli anayasaka...
maana World cup hana, coppa america hana
 
Sio mbaya ameifanya Barcelona kutembea vifua mbele hope UEFA Saba zitafikiwa Mpaka anastaafu jamaa yuko Vizuri he is second to none in my opinion

hayo mambo ya kusadikika mnayapenda saana msiojuwa mpira
 
Back
Top Bottom