PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
mwaka 1959 tena UEFAhah hah hah kumbe Barca keshamfunga Milan 5-0?
ilikuwa ni fainali au?
na je ilikuwa mwaka gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwaka 1959 tena UEFAhah hah hah kumbe Barca keshamfunga Milan 5-0?
ilikuwa ni fainali au?
na je ilikuwa mwaka gani?
KLABU INAYOONGOZA kwa jumla ya makombe mengi Dunianiheh hh heh fafanua mjomba...
mafanikio hayo ni yapi?
ni tuzo za Nesi ama?
Ahahahahahahaha anazungumzia Chelsea yenye UEFA 1.CHELSEA tuliyoipiga 5:0 au ipi hiyo??
mwaka 1959 tena UEFA
CHELSEA tuliyoipiga 5:0 au ipi hiyo??
hyo 5:1 ni juz tu ila chelsea tushamnyoosha 5:0 camp nou NA NDIO MANA NASHANGAA MNAVYOSEMA TIMU ILIYOWAI NUNULIWA KWA DOLA MOJA YANI 2400 ni wababe wetu[emoji12] [emoji12]it was 5-1......period
Hyo ilikuwa robo fainal mechi ya kwanza ITALY mlikalia 2:0 Alafu mechi ya pili pale camp nou ac milan ikala 5:1 JUMLA 7[emoji13] ngoja niishie hapo maana nisijekuumbua zaid na hilo team lako bibi kizee[emoji634]ilikuwa ni fainali?
na je ilkuwa uefa cup au champions league?
ha hah ha hah mnapiga chafya ya ugolo leo
hao viongoz wana akil kama zako zilizojaa usaha lazma wakatibiwe nje
2.chuo ninqchosoma mm akiongozwi na kikwete labda ww kwenu kikwete ndo anamuomgoza babako
3. nimekuelewa mama wa mtoto mzur
Ac Milan washaisha wamechoka wametepeta, halafu kama ni UEFA Mtoa mada unajua nani Ana makombe mengi Real Madrid Ana makombe 10 Milan Wana 7 wasifie Madrid kua ndio timu bora. Unatamba nini kama unatambia kikosi bora Hawa wakina Messi na Iniesta wameiweka kwenye ramani Barcelona ndani ya kipindi kifupi kutoka kua na UEFA moja Mpaka 5 wewe Unataka kulazimisha Barca ya kina Romario waliopata UEFA Moja ndio Kali kuliko hii, ukweli ni kua Barca tunayoishuhudia ya Messi ni balaa na hawajamaliza maangamizi still on mission just watch and enjoy what they do on the pitch
mwaka 1959 tena UEFA
Hyo ilikuwa robo fainal mechi ya kwanza ITALY mlikalia 2:0 Alafu mechi ya pili pale camp nou ac milan ikala 5:1 JUMLA 7[emoji13] ngoja niishie hapo maana nisijekuumbua zaid na hilo team lako bibi kizee[emoji634]
Yale yalikua ni mafanikio makubwa kwa Mara ya Kwanza enzi hizo ndio maana ikaitwa dream team lakini Barcelona ya sasa bado sio historia bado wapo on mission ukimuona Messi bado Ana njaa ya mafanikio tutawasifu Barca ikichoka kama Milan miaka hiyo kama ikitokea kuchoka, kwa sasa tunatazama burudani safi
Sio mbaya ameifanya Barcelona kutembea vifua mbele hope UEFA Saba zitafikiwa Mpaka anastaafu jamaa yuko Vizuri he is second to none in my opinionheh heh heh na kweli anayasaka...
maana World cup hana, coppa america hana
Sio mbaya ameifanya Barcelona kutembea vifua mbele hope UEFA Saba zitafikiwa Mpaka anastaafu jamaa yuko Vizuri he is second to none in my opinion
mjomba washabiki wenzak wamekufa umebaki peke yako sema basi hitler ndo mwanasiasa wako bora
Kwa hiyo kuujua mpira ni kuishabikia AC Milan pole sanahayo mambo ya kusadikika mnayapenda saana msiojuwa mpira