G8M8
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 432
- 391
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unaijua financial status ya Milan ?
Na unafahamu why walipewa adhabu na UEFA ?
Kama unalifahamu basi hiyo ndio sababu kubwa ya kumleta Gazidis.Pale Arsenal club ilikuwa stable financial na on pitch walikuwa wanamaintain kucheza Champions league na wasingeweza kupambana na City,United au Chelsea ambao owner walikuwa wanamwaga fedha kwenye usajili
Ozil ni mmoja ya wachezaji wanaongoza kwa mishahara mikubwa kwenye EPL hii Milan ya sasa haiwezi kumlipa 300k-350k per week
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee hizi sio enzi za Berlusconi na Galliani wakati ambao Milan ilikuwa inaweza kusajili best players in the world.Mkuu hivi wewe ni milanista? Milan haja yao ni kushindana. American owners wana matatizo yao kwahiyo tuwaache.
Ozil Lazima angetake paycut kuja milan hakuna timu ulaya itakayompa mshahara kama anaolipwa arsenal. Na mashbiki wa Ac milan wamekua na Imani kubwa na Leonardo na sio Gazidis. Wanaamini ndie atakaeweza kuirudisha timu kwenye hali yake.
Nafikiria bado hujafahamu kama tayari Gazidis kashaanza kuchafuana na Leonardo, na majuzi tu waliropekeana na Maldini. Anachotaka kukifanya yeye kipo nje ya version ya Italian football pamoja na Leonardo. Na fans wanastand with Leonardo.
Nakuhusu suala la Arsenal kwenye mafanikio napinga,Arsenal wameshindwa kupata mafanikio kwa matatizo yao wenyewe nasio spending. Walikua always wanaspend poor kwa visizingizio eti dam changa. Huwezi kupata mafanikio kwa kutegemea wachezaji kina walcot na Welback. ramsey, tizama foward line liverpool yupi pale arsenal wangeshindwa kumsaini? Tatizo la Arsenal lilikua ni poor transfer policy. Ambalo Gazidis na Jamaa yake Wenger wote walikua ndio watuhumiwa wakuu juu ya hilo.
Mzee hizi sio enzi za Berlusconi na Galliani wakati ambao Milan ilikuwa inaweza kusajili best players in the world.
Milan now haina fedha kufanya hayo unayoyataka na last year wameadhibiwa na UEFA sababu ya kushindwa kufit kwenye FFP
Do you expect Milan hii kupigania ubingwa against Juve/Inter au Napoli ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Napoli wametumia muda ku-assemble hiyo timu walipata wachezaji wazuri wengi kwa bei chee(Koulibaly,Milik,Zielinski,,Insigne,Allan,Hamsik,Martens) na makocha alikuwa Sari ambaye ndio katengeneza timu now yupo Carlo on of the best coach huwezi mlinganisha na Gatusso ambaye ndio anajifunza ukocha.Mkuu kwani Napoli wana fedha? mbona wanashindana. Mpaka sasa ukitizama Milan bado anafanya spending kubwa ya transfer na mishahara mikubwa kuliko Napoli lakini bado napoli anafanya vizuri kuliko Milan, Milan inapocheza na Napoli unafikia kuionea huruma inavyonyanyasika uwanjani.
Its not always about spending, Mafanikio sio lazima yaje kwa kupitia big spending. Stratagem na good transfer policy ndio inayotakilikana. Na Leonardo ni proven kwa hilo. Ila Gazidis naye ni proven failure kwa hilo.
Napoli wametumia muda ku-assemble hiyo timu walipata wachezaji wazuri wengi kwa bei chee(Koulibaly,Milik,Zielinski,,Insigne,Allan,Hamsik,Martens) na makocha alikuwa Sari ambaye ndio katengeneza timu now yupo Carlo on of the best coach huwezi mlinganisha na Gatusso ambaye ndio anajifunza ukocha.
It will take time Milan kurudi Kwanza lazima timu iwe stable financial ndio maana owner wamemleta Gazidis baada ya mistake iliyofanywa na na Fasone & Mirabeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Milan bounce back from a 0-0 draw in the league to Napoli into a 2-0 decimation of Napoli in the League Cup. Piatek scored twice and early to seal the game quickly, but he was not the only stand out.
STARTING XI
Bakayoko (9): The pride of the midfield, Tiemoue, is arguably the best midfielder in Serie A right now. My vocabulary is not deep enough to describe how well he has been playing and played today. When he looks to be in trouble he either finds a magic escape route or can draw a foul.
Share this: