Usajili wa Piatek ni wakupongezwa. Na kumuachia Higuain pia panahitajika pongezi.
Ila kazi bado haijesha.
Bakayoko, Borini, Zapata, Kessie, Suso, Calhanoglu, Biglia, Reina, Rodriguez. naona wanahitajika kuondoshwa kwa haraka.
(Suso, Calhanoglu, Rodriguez na Kessie) wanaweza kuleta pesa nzuri itakayofanikasha kuweza kufanya usajili zuri.
Asajiliwe Emerson for Left back position na wasijiliwe Sandro Tonali na Stefano Sensi, kwa ajili midifield na Diego Perotti kwa left side foward pamoja na major singing ya attacking kama Douglas Costa