Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Recently Bakayoko ni mmoja ya viungo bora kwenye serie A kwa miezi kama 2 now ,Hata mimi mwanzo nilikuwa simkubali but now ametuliaMkuu unatakiwa uthink big, Huwezi pata mafanikio ikiwa midfield yako tegemezi ni Bakayoko. Hata kupiga clear pass ni tatizo kwake. Sisemi kama haisaidii timu ila kama wanataka kuwa na timu bora basi mchezaji kama bakayoko hafai. na tatizo kubwa la Bokayoko ni gharama. Chelsea hawatomuacha kwa bei chee kabisa, watataka alau 35m mbali na mshahara mkubwa sana atakaoutaka kutokana na mshahara anaolipwa sasa kuwa mkubwa. Mkuu kwa 35m mbona unapata midfield nzuri tu kwenye timu zaidi yake yeye tena na ambae utaweza kumlipa mshahara mdogo zaidi yake yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app