Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #3,161
Bakayoko amekuja kuwa wa muhimu sana kwetu...
Hebu mpe nafasi kwanza, hayo mengine tutayajadili mwisho wa msimu... asanteni
Kuna wakati Romagnoli, Musachio, Caldara wote walikuwa na Injury.
Zapata alisimama imara na mwamba Abate pale kati.
Lazima uwe na backup, maana kuna leo na kesho... asanteni
Mkuu hii timu inajengwa hivyo kila kitu kitakaa sawa tu kwa baadae, target iliyopo kwasasa ni kupigania kuingia top four na pia kuchukua copa italy ili msimu ujao icheze champions league. Baada ya hapo naamini lazima watasajili wachezaji wengine ili kuiweka timu kwenye ushindani kwenye champions league. Usajili wa Paqueta na Piatek umeongeza kitu kikubwa sana ndani ya kikosi hivyo bila kuna sajili zingine zitafuata baadae.Mkuu unatakiwa uthink big, Huwezi pata mafanikio ikiwa midfield yako tegemezi ni Bakayoko. Hata kupiga clear pass ni tatizo kwake. Sisemi kama haisaidii timu ila kama wanataka kuwa na timu bora basi mchezaji kama bakayoko hafai. na tatizo kubwa la Bokayoko ni gharama. Chelsea hawatomuacha kwa bei chee kabisa, watataka alau 35m mbali na mshahara mkubwa sana atakaoutaka kutokana na mshahara anaolipwa sasa kuwa mkubwa. Mkuu kwa 35m mbona unapata midfield nzuri tu kwenye timu zaidi yake yeye tena na ambae utaweza kumlipa mshahara mdogo zaidi yake yeye.