Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

bologna 1-1 juve...
Mechi ya 6 mfululizo ya ligi wajomba hawajapata ushindi...
 
ndetichia, myao wa Tunduru njoeni mtupe updates za Juve...
Mmetoa patulo ya 7 ktk seriie A huku Pirlo, Marchisio na wehu wengine wakiendelea kusubiri huruma za refa ili wapate patulo
 
watapanda tu ingwa walitoa draw..
 
ndetichia, myao wa Tunduru njoeni mtupe updates za Juve...
Mmetoa patulo ya 7 ktk seriie A huku Pirlo, Marchisio na wehu wengine wakiendelea kusubiri huruma za refa ili wapate patulo

gang chomba ligi bado hii!tutakualika siku tutapotawazwa mabingwa wa serie A mwishoni mwa msimu!!!
 
ndetichia, myao wa Tunduru njoeni mtupe updates za Juve...
Mmetoa patulo ya 7 ktk seriie A huku Pirlo, Marchisio na wehu wengine wakiendelea kusubiri huruma za refa ili wapate patulo

GC katoe mkono wa pole kwa ndugu zako kwa ushindi wakutoka UEFA..
 
kwani wale ni wataliano?
Mi siwasapoti Inter hata siku moja.
Wataliano wa ukweli ni wale wenye wachezaji wa kitaliano ktk first 11 zao
 
robo fainali ya ligi ya mabingwa barani ulayya ni kati ya Milan na Barcelona
 
parma 0-2 Milan
Udinese 2-2 Napoli
Viola 0-5 Juve

Ila still Milan twaongoza ligi yakhe
 
extra time goal send old lady or grandma of tulin to coppa de italia final..

Gang kakimbia hasa ukizingatia anamkubali sana Allesandro Del Pierro aliyewapiga bao la kwanza, kweli Ajuza wa Turin ni maji marefu kwa Milan!
 
Ac milan 2-1 AS Roma...
Zlatan Ibracadabra kapeleka msiba kwa vizee va mji mtakatifu...
 
Nimeshazoea porojo zenu...
Mlianza kwa Arse4 na sasa mmehamia Barca.
Ok Jumatano mapema ntakuwepo kwenye Jukwaa
hili na sintatoka mpaka Alhamisi jioni.
Stay tuned...
 
Back
Top Bottom