ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
orchestre Napoli Musica 3-1 Chelsea...
Forza Italy
naona napoli wapo kiUEFA zaidi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
orchestre Napoli Musica 3-1 Chelsea...
Forza Italy
sasa mimi nilikuwa nawaonea huruma arsenal siku zile angecheza supa pipo ambae ana rekodi ya kuwafung waingereza kama mruguay cavani akisimama mbele na alexander pato(yani pato ni bata kwa kihispanionla/kireno)ingekuwa balaa,pole nyingine jana kwa chelsea na kocha wao avb andre villa boas
kwanza nakusahihisha ac milan wana 18 sasa taji serie a,usijishushe bwana,ila mjomba leo kazi unayo vs unbeaten bibi vizee ajuza wa turinYaani Pippo the Poucher angecheza siku ile basi Arse4 wangefungwa 10
![]()
jina kamili: Associazione Calcio Milan.
a.k.a: Rossoneli ''red & black'', Diavolo ''the Devil''.
Kuanzishwa: 16/dec/1899.
Uwanja: Sansiro Meazza.
Uwezo: unabeba watu 80,074...
Mwenyekiti: Silvio Berlusconi.
Makamu mwenyekiti: Adriano Galiani.transer manager: Adriano Galiani
Director: Adriano Galiani.
Kiongozi wa misafara: Adriano Galiani.
Kiongozi wa mashabiki: Adriano Galiani.
Msemaji wa timu: Adriano Galiani
Kocha: Massimiliano Allegri na msaidizi ni mauro Tassoti.
Nahodha: Masimo Ambrosini.
Daktari: Mauro Gevi.
Ac Milan ni klabu kubwa na yenye mafanikio ya kimataifa zaidi ya timu yoyote ile hapa Duniani.
AC Milan ilianzishwa na waingereza wawili Alfred Edward na Albert kilpin ktk mwaka huo wa 1899 ambapo makao makuu ya klabu yalikuwa Fiaschetteria Toscana ktk Barabara ya Beschet hapahapa Milan
Mpaka sasa Milan ndio klabu inayoongoza kwa mafanikio ya kimataifa ikiwa imekusanya
Intercontinental cup mara 4
European super cups mara 5
Cup winner cup mara 2
UEFA champions league mara 7.
Pia Milan imebeba ndoo 17 za ligi kuu ya Italia maarufu kama Scudeto.
TO BE CONTINUA...
kwanza nakusahihisha ac milan wana 18 sasa taji serie a,usijishushe bwana,ila mjomba leo kazi unayo vs unbeaten bibi vizee ajuza wa turin
Unabiii: Kilio kilisikika Imirati !
Onyo: Hakuna lisilowezekana katika soka !
Rejea: SC Simba Tan Mufulira Wanderers Zam 0-4 5-0 5-4
Siku ya mechi mchukue muheshimiwa Steven Wasira kisha akawe kipa wa AC Milan...nakuhakikishia Arse4 hawatapata goli hata moja na huyo kipa Baba wa watu wala hatochafuka
maandiko yametimia.
Arsenal na Arsene Wenger are out of champions league...
Myao wa Tunduru, Companero, Ndetichia, na Barantanda kwa pamoja nawapa pole sana ndugu zanguni.
pole kwa presha, arsenal b (barca) inawasubiri
"It's a shame about the defeat" - Allegri
Kadri Giza linapozidi kuwa nene ujue alfajiri
inakaribia...
Sasa nakutaarifu na kisha uwaambie wenzako
kuwa umefika wakati ambao AC Milan huwa
wanatumia uzoefu sanjari na fitna za kila aina ili
kufudhu hatua inayofuata. Yoyote yule ntakayepangiwa nae ntamshughurikia
kwa torati.
Forza Milan
Sempre Milan
kama umepigwa 3-0 na arsenal tegemea 6-0 ukikutana na barcelona