Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #281
mwaka wa njaa kwa milan!!!kwani JUVE kileleni ndo hatung'oki!hao arsenal nao wana njaa ya mafanikio chini ya uongozi wa dutch master RVP mshambuliaji mwenye njaa anayeweza kukuua kwa style yeyote aidha mguu wa kulia au kushoto,ndani ya 18 au kutoka mbali,hana impossible angle yeye anatupia tu popote atapoliangalia goli!!!!mbio za WALCOT na CHAMBERLAIN ndo silaha itayowaumiza MILAN
Anafahamika kwa majina Alesandro Nesta.
Inaaminika na kusadikika kuwa tangu aondoke Franco Baresi basi hakuna kama.
Hewani anakwenda, uvunguni ndio bingwa, anajuwa kupanga ukuta, anapiga mitungi kwenye 18 ya mahasidi.
Mara yako ya mwisho kuona anapewa kadi nyekundu ni lini?
Huyo ndio dawa ya kina Chembalaini.