Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

shifta, ndetichia na Myao kwa sasa wanaongoza ligi kwa tofauti ya pointi mbili.
 
mnaongoza lakini hamtochukua ubingwa kwani Luciano Moggi hayupo.
 
2008 Arse8 waliwafunga Milan waliokuwa na Paolo Maldini, Kaladze, Oddo, Sheva, Pippo na wazee wengine.
Ila kwa sasa Milan wana Aquilani, KPB, ibra, Pato, Nocerino, Robinho, Silva, na Abate.

Then hebu nieleze kilichotokea jana ktk mechi yako na Man City...usizungumzie mambo ya February

kwa ufupi yani Timu za Italia kwa Arsenal tunajichapiaga tu., udenese, inter, ac milan wote wateja wetu.
 
kwa ufupi yani Timu za Italia kwa Arsenal tunajichapiaga tu., udenese, inter, ac milan wote wateja wetu.

Mnajipigia then mnachukua ubingwa au ndio yaleyale ya kushangilia Mimba?

Milan keshakuwa bingwa wa Ulaya...
Haya na hao Arse8?
 
hata city walikuwa mabingwa ngoja tusubiri hiyo feb mzeiya...
 
halafu kumbe Juve ndio pekee waliobakia ulaya nzima kuwa unbeaten?
 
Cagriali 0-2 AC Milan...
Milan wanaongoza ligi ya Italia maarufu kama Serie A.
Wale wanaofuatilia beaten na unbeaten naomba msome hii.
 
napoli, Roma, na Inter wameshinda mechi zao.
Juve kapiga mbizi kwenye kokoto...
Hii inamaanisha Mabingwa watetezi wako on top of the summit then Juve akifuatia, kisha Udinese, halafu SS Lazio Roma, then Inter, then Napoli, Then AS Roma.

Wale wanaofuatilia Unbeaten nawatakia kila la kheri...the Sagga continua
 
hii inamaanisha AC Milan tutakula biriani la Christmas tukiwa kileleni...
 
in the
heart of Milan fans the real hero is Filippo
Inzaghi.
Every match Milan fans sing: "Ohi Ohi Ohi
Pippo Inzaghi segna per noi,” even when Pippo is not on the field.
 
in the
heart of Milan fans the real hero is Filippo
Inzaghi.
Every match Milan fans sing: "Ohi Ohi Ohi
Pippo Inzaghi segna per noi,” even when Pippo is not on the field.

haya bana na kibabu chako pipo..
 
Naona Mzee wa fitina Galliani tayri kashamkamata Carlos Tevez
 
naona nduguzo wanajitahidi bana jana acha waishushie dhahama Parma 5 bila mzee..
naona wanakuja juu kiaina..
 
Naona Mzee wa fitina Galliani tayri kashamkamata Carlos Tevez

Hah hah haaah Belo ujue kuna wadau wengi hawamjui Galiani.
Ila kwa wale watu wa ndani wa Soka ni lazima umjue Galiani au yule msema hovyo Luciano Moggi...
 
naona nduguzo wanajitahidi bana jana acha waishushie dhahama Parma 5 bila mzee..
naona wanakuja juu kiaina..

Ndetichia mi na wewe tunakimbizana ila amini nakwambia Inter si timu ya kuibeza...
Jamaa wanakuja na nina wasiwasi nao mno.
 
Back
Top Bottom