Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napori umewahona lakini?
hata ingekuwa baiskeli ya barafu jangwani, ila ukweli haupingiki Milan wanaongoza ligi
nimependa zaidi kile kifaa artulo Vidar Pardo.
Dogo anajuwa ile mbaya
juve twachukua ndoo msimu huu halafu tutasubiri tupewe kashfa tena
1. AC Milan
2. Inter Milan
3. SSC Napoli.
Hizi ni timu toka Italy.
Zinacheza Ligi ya Italia maarufu kama Serie A.
Milan ni Baba wa mafanikio ya Soka ulimwenguni, amefuzu kuingia raundi ya mtoano ya klabu bingwa barani ulaya msimu huu akishika nafasi ya pili ktk kundi lake.
Inter pia amefanikiwa kuingia ktk hatua ya mtoano akishikilia nafasi ya kwanza.
orchestre Napoli Musica wao pia wameweza kuwafunga midomo mahasidi na washambenga waliokuwa wanasema kuwa Soka la timu za Italy limekwisha.
Napoli Zemunda walikuwa kwenye kundi la kifo likizijumlisha timu kama Villareal toka spain, Man City toka Uingereza na Bavaria toka Munich Ujerumani.
Wengi wa wacheza kamari ama watabiri walionyesha wazi kuwa Bayern na Man City wangeweza fuzu ktk kundi hilo, lakini usugu wa Napoli ulipelekea ulimwengu kuamini kuwa sasa Buluda karudi.
Napoli waliweza kupambana vizuri na kuwanyuka Man City, na kuwanyuka Villareal ktk mechi zote mbili.
Pia walipata sare ktk mechi moja ya Bayern na mechi moja na Man City.
Walifungwa magoli matatu kwa mawili na Bayern.
Hivyo wakafuzu wakiwa na Point 11.
Kukaa muda mrefu na ushirikiano wa akina Hugo armando Campagnaro, Paolo Canavaro, Dossena, Isler, Maggio, De Sanctis, Hamsik, Lavezzi, aronica, gargano, zuniga kulipelekea Napoli kufanya vizuri na kuvutia watu wengi.
Kwa niaba ya washabiki wooote wa soka la Italia napenda kuzipongeza timu hizi tatu kwa kufanya vizuri.
Ila pongezi za pekee ziwafikie ngoma ngumu SSC Napoli.