Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

mkuu myao kumbe wewe ni shabiki wa kibibi poa mida :behindsofa:

naam mkuu bianconeri ndo chama!kesho shuhudia navyorudi usukanini ntapomuadabisha as roma kwani mpaka sasa udinese ndo anaongoza katika msimamo ila nina kiporo cha kesho!
Bologna 2 Milan 2... Milan anasubiri nafasi ya 3 na kanizidi game moja
Udinese 2 Chievo 1...Udinese nimempa usukani kwa muda na kanizidi game moja
 
marseille na Inter
Napoli vs Chelsea
Milan vs Arsenal...
 
Nyie mkakimbizane na kibibi kizee cha Turin ila kwa Gunners imekula kwenu!

Unajuwa Arse8 ni kama mkanda wa suruali...wakati wa kuuvaa ndo unakuletea pilika, lakini wakati wa kuuvua yaani unauvuta tu...
Sasa mjomba february mwakani ni muda wa kuuvua mkanda...
 
Attachments

  • Boateng.jpg
    Boateng.jpg
    29.4 KB · Views: 29
mi naongoza ligi kuu ya italia maarufu kama serie a.
Juve na Udinese mtajijuwa wenyewe na viporo vyenu hivyo
 
na we mwafrika subiri shuzi lako leo na Aguero na super Mario
 
mi naongoza ligi kuu ya italia maarufu kama serie a.
Juve na Udinese mtajijuwa wenyewe na viporo vyenu hivyo

nimekusikia vibaya,nimesoma vibaya au nimechelewa kusoma hii taarifa?juve level zingine!kama nilivyowahi kusema hapo awali msimu huu katika serie A draw ndo kama tumefungwa!!!!!arsenal wanafurahia kupata ngazi ya kuingia hatua nyingine!wana dharau sana wanalibeza chama lako.....
 
naona wapiganie champions ligi..
 
napoli kapigwa na roma 3-1. Na kule nako Lazio amekamatwa na Udinese na kutoka 2-2.
Ila hii ya udinese na Lazio ndio ilikuwa tamu
 
mi naongoza ligi kuu ya italia maarufu kama serie a.
Juve na Udinese mtajijuwa wenyewe na viporo vyenu hivyo

Jiandae february Kukimbizwa kwenye Champions League na Hao wazee wako! Itakuwa zaidi ya 2008. GUNNERS.
 
hayo matokeo niliyaweka hapo juu yanamfanya inter afarijike sana, kwani ameshinda mechi ake ya tatu mfululizo
 
Jiandae february Kukimbizwa kwenye Champions League na Hao wazee wako! Itakuwa zaidi ya 2008. GUNNERS.

2008 Arse8 waliwafunga Milan waliokuwa na Paolo Maldini, Kaladze, Oddo, Sheva, Pippo na wazee wengine.
Ila kwa sasa Milan wana Aquilani, KPB, ibra, Pato, Nocerino, Robinho, Silva, na Abate.

Then hebu nieleze kilichotokea jana ktk mechi yako na Man City...usizungumzie mambo ya February
 
Back
Top Bottom