Niliangalia mechi nikashindwa kuamini kumbe hata Ulaya marefa wanafanya upuuzi.Refaa kama huyu akichezesha mechi ya Yanga itabidi mkoa wa kipolisi uanzishwe uwanjani ha ha ha ha.Naamini Barca ni wazuri tena wana uwezo wa kuifunga Milan bila msaada wa refa lakini mechi yao na Milan Messi,Iniesta na takataka nyingine hazikuwa na msaada ikabidi mchezaji wa 12 atafutwe ili kuokoa jahazi.
mi nilimwambia huyu ... nou camp pale ndio mwisho wa safari... kama arsenal walipiga tatu . barca mtegemee worse.. tatizo sansiro lilikuwa ni pitch mbaya
unategemea nini pesa za kununua mechi zikiisha?
madhara ya kukalia politiki mambo yaliyopita,palepale giuseppe meazza fiorentina kaleta kilio tena,ajuza huyo unbeaten na yupo top sasa serie A
lol and then,ajuza wanaendeleza unbeaten yao wanarudi kileleni,lazima wavunje unbeaten yenu ya mechi 58 chini ya capeloChievo 0-1 AC Milan.
Milan back on top
AC Milan walichemsha sana kumuuza Pirlokweli uzee ni dhahabu, pande la andrea pirlo tamu na mpira wa adhabu wa allessandro del pierro mtamu!
AC Milan walichemsha sana kumuuza Pirlo
kwani zile pesa zote za rushwa slyivio berlusconi alipeleka wapi?au nae walimnyang'anya,kweli waangalie usiwe ukawa mwaka wao wa shetani huu!Unafikiri njaa mchezo?
I ssue haikuwa fedha,jamaa aliachwa free,Anceloti angekuwepo sidhani kama angeachwaUnafikiri njaa mchezo?
I ssue haikuwa fedha,jamaa aliachwa free,Anceloti angekuwepo sidhani kama angeachwa
AC Milan walichemsha sana kumuuza Pirlo