Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

Niliangalia mechi nikashindwa kuamini kumbe hata Ulaya marefa wanafanya upuuzi.Refaa kama huyu akichezesha mechi ya Yanga itabidi mkoa wa kipolisi uanzishwe uwanjani ha ha ha ha.Naamini Barca ni wazuri tena wana uwezo wa kuifunga Milan bila msaada wa refa lakini mechi yao na Milan Messi,Iniesta na takataka nyingine hazikuwa na msaada ikabidi mchezaji wa 12 atafutwe ili kuokoa jahazi.
 
Thanx...
 
mi nilimwambia huyu ... nou camp pale ndio mwisho wa safari... kama arsenal walipiga tatu . barca mtegemee worse.. tatizo sansiro lilikuwa ni pitch mbaya

unategemea nini pesa za kununua mechi zikiisha?
 
hata mpige makelele kiasi gani matokeo wala ukweli haubadiliki, kwa sasa kimpira barcelona imeizidi ac milan
 
Gang Chomba yaani siku ile ningefurahi tu kama ningeangalia mpira sambamba na wewe, kwa sababu najuwa ningeyasikia matusi yoote ya kitaliano ambayo ulikuwa unayavurumusha kumwelekea Refa...hah hah hah
 
madhara ya kukalia politiki mambo yaliyopita,palepale giuseppe meazza fiorentina kaleta kilio tena,ajuza huyo unbeaten na yupo top sasa serie A
 
madhara ya kukalia politiki mambo yaliyopita,palepale giuseppe meazza fiorentina kaleta kilio tena,ajuza huyo unbeaten na yupo top sasa serie A

Chievo 0-1 AC Milan.
Milan back on top
 
kweli uzee ni dhahabu, pande la andrea pirlo tamu na mpira wa adhabu wa allessandro del pierro mtamu!
 
Hawa milan jinamizi la goli la muntari bado wanalo????JUVE tunabeba ndoo ya ligi ya nyumbani halafu katika UEFA msimu unaokuja tunarudisha heshima ya clubs za Italy!wale mama barca tukikutana nao ni maafa makubwa tutawanyia!
 
AC Milan walichemsha sana kumuuza Pirlo

Huyo pirlo mwache kama alivyo!kama ni mjenzi..mchanganya zege yeye,mpaua bati yeye,seremala yeye na mpaka rangi yeye!pale JUVE tuna fundi aliyekamilika mwenye uwezo wa kunyoosha ukuta bila kutumia pima maji kwa pasi zake zenye akili na maono ya eagle!
 
Back
Top Bottom