Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Niliangalia mechi nikashindwa kuamini kumbe hata Ulaya marefa wanafanya upuuzi.Refaa kama huyu akichezesha mechi ya Yanga itabidi mkoa wa kipolisi uanzishwe uwanjani ha ha ha ha.Naamini Barca ni wazuri tena wana uwezo wa kuifunga Milan bila msaada wa refa lakini mechi yao na Milan Messi,Iniesta na takataka nyingine hazikuwa na msaada ikabidi mchezaji wa 12 atafutwe ili kuokoa jahazi.