myao wa tunduru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2010
- 614
- 235
ngoja aje uone shughuli yake sijui ataongea nini kuala lumpar kala moko kule sun siro kala moko mwanzo mwisho mokomoko...
we gang chomba....u still think ac milan are the best team in europe..or they USED to....they lost to malaga today..1-0 cmon of all the teams you could lose to..MALAGA?? :biggrin1: this is the beginning of the end for AC MILAN bring on the past memories and glories bt it doesnt matter your club is in decline..:happy:
Tehe tehe, kwi kwi , hahaa haaaa- sasa Milan inataka kucheza soka kama la Barca!
Report: AC Milan-Pep Guardiola in talks
The Berlusconi family, owners of AC Milan, is reportedly in conversations with former Barcelona coach Pep Guardiola, according to reports in Italian newspapers La Gazzetta dello Sport and La Reppublica.
Report: AC Milan in talks with Pep Guardiola - ESPNFC
hiyo ndio milan
ikicheza kwa kujiamini klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni AC Milan imeweza kuiadhibu klabu ya Genoa baada ya kuipeleka mchakamchaka na kuirarua kwa goli moja kwa bila goli lililosekwa kimiani na The pharoe Elshaarawy.
ikicheza katika uwanja ulio nusu tupu kutokana na kukimbiwa na mashabiki