Home of AC Milan, Official Thread

Milan bado wanatakiwa kutafuta walinzi na viungo wapya
 
Gang chomba pole kwa kuaga mashindano.. Mziki uliopewa na Uefa kibongo bongo tungesema umeonewa maana huyo messi anavyotafuta sifa... Kama nawaona mtavyoutafuta mpira kwa tochi maana watoto wanagonga pasi wale sina hamu nao

kawaulize mashabiki wa soka catalunya kitu inaitwa CATENACCHIO uone watakavyokupopoa mawe!barca zote hata ziwe nzuri namna gani zimekuwa wahanga wa hii football style ya italia.ukisikia mtaliano kafungwa na mspanish basi ujue aliamua kucheza mfumo mwingine.kwa jinsi milan walivyo na average players sasa hivi,ni wazi hawatajisumbua na open football,sasa wakicheza catenacchio bhaaas!hamna cha messi wala iniesta,inawekwa fomesheni ya 8-1-1,mtahangaika nyie wee,wao wanawatazameni mkiingia target anapewa pande sniper mmoja kama el shaarawy au montolivo,ananyamazisha ngoma za catalunya.na mashabiki wa barca wanaijua shughuli hii ndio maana wakimuona mtaliano kapaki basi nyuma huwa wanajua kuwa hilo ni treni wanakaaga kimya uwanjani.mwaka jana iliwakuta shughuli na messi wao uwanjani,palikuwepo mtaliano mmoja tu uwanjani,anaitwa di matteo,akapaki treni lake nyuma,messi,iniesta hangaika wee,dk za mwisho watu wakamtupia AK47 sniper wao Torres,shughuli ikaisha!huyo alikuwa mtaliano mmoja tu na alikuwa nje ya uwanja,sasa muziki mzima wa milan na jinsi allegri anavyotafuta wa kumpunguzia stress zake!nasema hivi,milan akicheza catenacchio,and it is likely,hakuna barca yoyote ya kuwasumbua waitaliano,awe milan,juve,inter,napoli,lazima barca akalie!
 

maneno ya kujifariji ngoja tusubiri Feb...AC milan wako unga sana hata kukaba hivyo wataweza?
 
vice president Adriano Galliani has confirmed Alexandre Pato and Robinho have “asked to leave” and he is flying to Brazil for
negotiations.
 
Jifariji tu,nyie Juve hata kwa Malaga hamtoki,fainali kombe uwanjani Real Madrid alikufunga Pedrag Mijatovic,na kina Juve kuna Edgar Davids,Zidane,Del Piero,Nedved,Barca ya sasa usipime wala usiongee angalia Messi anavyoweka rekodi kila leo.
 
Hata world cup 2010 wa2 tuliwaambia Spain bingwa,wakaleta hisoria,wakadai oh miaka yote Spain wanacheza wanatoka mapema,sasa subirini muone AC Milan atakavyochezea kichapo kama Azzurri kwa La Furia Roja euro 2012 final,hiki ni kizazi bora cha soka kwa sasa Barca na Spain kwa ujumla
 
Jifariji tu,nyie Juve hata kwa Malaga hamtoki,fainali kombe uwanjani Real Madrid alikufunga Pedrag Mijatovic,na kina Juve kuna Edgar Davids,Zidane,Del Piero,Nedved,Barca ya sasa usipime wala usiongee angalia Messi anavyoweka rekodi kila leo.

malizia historia yako..baada ya hiyo mechi madrid amekutana mara ngapi na juve,akiwa na wachezaji gani na juve ikiwa na wachezaji wa kiwango gani na matokeo yalikuwaje?
 

spain na barca ni vitu viwili tofauti kama ilivyo kwa del bosque na vilanova.vivyo hivyo milan na azzuri ni vitu tofauti kama ilivyo kwa prandelli na allegri.hii mechi haitakuwa rahisi kwa barca hata kidogo.,barca anaweza kushinda kwa sababu huu ni mpira na sio kwa sababu ni superior kwa milan.na milan pia wana nafasi kubwa tu.nyie nawasubiri kwa hamu february!nawasubiri kwa hamu saana.tusikimbiane humu mechi ya barca ikiisha!
 
vice president Adriano Galliani has confirmed Alexandre Pato and Robinho have “asked to leave” and he is flying to Brazil for
negotiations.

nasema hivi,hata waondoke hao jamaa lakini mechi haitakuwa rahisi kwa barca kama watu wanavyofikiri humu.we chomba hata na wewe ukiisaliti milan kwa woga wako eti sijui nani anaondoka,nakuambia hivi wewe na mashabiki wa soka humu jf,sie wataliano huwa hatunyimwi usingizi na barca wala real,na siku hiyo nitavaa jezi ya milan kwa sababu chomba umenitia hasira kwa post yako hii na nakuambia barca anao mlima wa kupanda na mlima huo unafuka volcano!FORZA MILAN!
 


Juve2012 umeninukuu vibaya.
Mimi nimeikurupua hiyo habari na kuileta hapo sio kwamba nimekata tamaa.
Hao Barcelona mi siwahofii hata kidogo, na hata kipa wetu akikaa Steven Wasira basi still utakuwa ni Mlima kwao.
Na katika timu ambazo siwezi kuzisaliti na ABAJALO, YANGA, AC MILAN.
 
34934963757 Ntakutafuta usijali,kama sipatikani jaribu ila ongea lugha ya obrigado(0034934963757)
 
Pato kwetu maana yake bata,kwahiyo hatumuohifii Pato,Robinho,Boateng wala sijui farao na hata mamluki tuliewapa Bojan Krkic.
 
malizia historia yako..baada ya hiyo mechi madrid amekutana mara ngapi na juve,akiwa na wachezaji gani na juve ikiwa na wachezaji wa kiwango gani na matokeo yalikuwaje?
Tatizo lenu nyie mnaleta historia ambayo nawaambia kila siku Spain ya sasa si kama ya mwaka 47,kizazi cha kina raul,mendieta,extebarria,keko,urzaiz,canizares zubizareta na helguera sio kama cha sasa,kile kilikuwa chenga twawala boli posesheni hadi 99 lakini haishindi,hata saudi arabia na korea kusini zinawatoa kamasi,sio ya sasa,yani ya sasa hata nyumba naweka,hakuna timu wala nchi yoyote inayowatoa kamasi la furia roja kwa sasa,na kama unabisha ntakutafuta mwenyewe,tusikimbiane tu na historia zenu za maisha albamu.
 
Gutierez usijiamini kwa wataliano kiasi hicho. Milan wananafasi ya kupita tena kubwa tu. Yasiwe mambo ya ROSE MUHANDO siku hiyo. Tena barca ninavyo watamani mie, Wee Marotta embu mlete Drogba au Nene ndani ya Vinovo.
 
Gutierez usijiamini kwa wataliano kiasi hicho. Milan wananafasi ya kupita tena kubwa tu. Yasiwe mambo ya ROSE MUHANDO siku hiyo. Tena barca ninavyo watamani mie, Wee Marotta embu mlete Drogba au Nene ndani ya Vinovo.


Gutierez ana uhakika, si anajuwa marefa kawakamata...
 
JAVIER PASTORE admits he has a great rapport with
Milan’s management but won’t move now. Milan
have been linked with a move for the Argentine
fantasista, but after reporting realizing a loan move
is not an option they changed aims and Pastore
does not appear to be a target for the Rossoneri anymore.
 
Gutierez usijiamini kwa wataliano kiasi hicho. Milan wananafasi ya kupita tena kubwa tu. Yasiwe mambo ya ROSE MUHANDO siku hiyo. Tena barca ninavyo watamani mie, Wee Marotta embu mlete Drogba au Nene ndani ya Vinovo.
Hao AC Milan yako ishakula bao kwa FC Malaga ktk hatua ya makundi,sina wasiwasi na waitaliano kwa sasa mimi na FC Barcelona au Lafuria Roja wameshika namba 2 nyum,a yao,walishinda 4-1 san siro wakaenda kulala 4-0 kwa deportivo la coruna javier irureta,na AC Milan ilikuwa kama bingwa mtetezi uefa champs ligi wakavuliwa,ngoja nikutafutie bao zuri la Luque ambae alimvisha kanzu maridadi Cafu na kupiga bao safi yaani kama ingekuwa ni mwingereza basi ingekuwa breaking news siku zile.
 
Gutierez ana uhakika, si anajuwa marefa kawakamata...
Mimi ntakutafuta Turati yote hadi Mihogoni,yaani hata mkipendekeza mechi zote 2,nina uhakika mkubwa na Fc Barca,hamna nyimbo safari AC Milan,na wachezaji wenu tegemezi sijui Montolivo,Pato,Shaawary,Robinho,Prince na beki yenu mahiri Yepes akisaidiwa na Abate,sijui Niang na yule mguinea sijui constantine kimanda,samahani kama nachapia jina lake Chomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…