SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Kuna shabiki mmoja wa the Gunners anadai Arsenal itatwaa ile ndoo ya UEFA champions league mwaka huuHah hah hah haaaah nalitafuna hapa huku narudia kuitazama Free kick ya Baloteli
Kuna shabiki mmoja wa the Gunners anadai Arsenal itatwaa ile ndoo ya UEFA champions league mwaka huu
But he is "unmanageable"
Tangu amejiunga na AC Milan magoli yote kafunga yeye...
There's no club like AC Milan
Forza Milan
Nakuonea huruma sidhani kama utaonekana kuanzia j5 vs Barca na j2 hasimu wako Inter,vichapo vitakukukimbiza,ila u cant run away from yourself,au sio?
Ila huwezi kujikimbia mwenyewe(u cant run away from urself)leo ni leo ukiwakosa FC Barcelona jimalizeeee!i can run...but i cant hide...
Sempre Milan
Ila huwezi kujikimbia mwenyewe(u cant run away from urself)leo ni leo ukiwakosa FC Barcelona jimalizeeee!
kawaulize mashabiki wa soka catalunya kitu inaitwa CATENACCHIO uone watakavyokupopoa mawe!barca zote hata ziwe nzuri namna gani zimekuwa wahanga wa hii football style ya italia.ukisikia mtaliano kafungwa na mspanish basi ujue aliamua kucheza mfumo mwingine.kwa jinsi milan walivyo na average players sasa hivi,ni wazi hawatajisumbua na open football,sasa wakicheza catenacchio bhaaas!hamna cha messi wala iniesta,inawekwa fomesheni ya 8-1-1,mtahangaika nyie wee,wao wanawatazameni mkiingia target anapewa pande sniper mmoja kama el shaarawy au montolivo,ananyamazisha ngoma za catalunya.na mashabiki wa barca wanaijua shughuli hii ndio maana wakimuona mtaliano kapaki basi nyuma huwa wanajua kuwa hilo ni treni wanakaaga kimya uwanjani.mwaka jana iliwakuta shughuli na messi wao uwanjani,palikuwepo mtaliano mmoja tu uwanjani,anaitwa di matteo,akapaki treni lake nyuma,messi,iniesta hangaika wee,dk za mwisho watu wakamtupia AK47 sniper wao Torres,shughuli ikaisha!huyo alikuwa mtaliano mmoja tu na alikuwa nje ya uwanja,sasa muziki mzima wa milan na jinsi allegri anavyotafuta wa kumpunguzia stress zake!nasema hivi,milan akicheza catenacchio,and it is likely,hakuna barca yoyote ya kuwasumbua waitaliano,awe milan,juve,inter,napoli,lazima barca akalie!
34934963757
Ntakutafuta usijali,kama sipatikani jaribu ila ongea lugha ya obrigado(0034934963757)
gutierez unakakumbuka haka kapost?
sijalala jana kutwa nzima nalia stress,maana iliniuma kama unapomfunia mwenza wako ambae unampenda na anasifika kwa tabia nzuri sasa unamkuta LIVE bila kuhadithiwa na mtu,nimefungwa na timu mbovu bora hata Swansea ingenifunga,na yote ni kocha hatuna yule ni msimamia mazoezi,kikosi watu walishakariri mwezi mzima hichohicho,na refa nae kawapa bao la kwanza la mkono,poa hatusemi sana ila hongereni anti-Barcelona wote.Gutierez nimeongea obrigado lkn bado sipati wewe kwi kwi kwii!