Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

Yule mzee hawezi rudi...
Nadhani atatundika mikwaju yake palepale kwa Bibi.
Ila usijali, kuna Pirlo mpya hapo Milan anaitwa Ricardo Saponara

huyo mtoto saponara ni RICARDO KAKA mpya tena KAKA yule wa serie A!...huyo dogo namkubali sana kwani nilishtuka sana kuona chama kubwa kama milan kuamua kubadilisha formation kwaajili yake!ikumbukwe milan walikuwa wanatumia 4-3-3 kwakuwa gindaginda silvio berlusconi ndo formation aliyoipendekeza na aliyokuwa akiipenda lakini baada ya kusajiliwa kinda hili la miaka 22 makamu wa rais wa milan bwana adriano gallian pasi kificho akauambia uma sasa milan wanarudi rasmi katika 4-3-1-2 ili kumuwezesha saponara akae nyuma ya strikers
 
mzee mwenzangu naona napoli anakujambisha mtu mzima!...nafasi ya pili mtaigombania wengi msimu mpya!

ha ha ha haaa!hu hu hu huu!auwii,we myao wa tunduru huna adabu hata kidogo,lakini kuna kaukweli,ha ha haa!
 
ha ha ha haaa!hu hu hu huu!auwii,we myao wa tunduru huna adabu hata kidogo,lakini kuna kaukweli,ha ha haa!

mkuu cheka taratibu gang chomba atakusikia kwani hata hiyo nafasi ya pili kwao tia maji tia maji!:smile-big:
 
Etii kaka Chombaa etii,mie nimeambiwa na kaka Mourinho nije eti nikuulidhee etii matokeo yenu na thathuoloo etii mlithinda ngapiii?
 
Etii kaka Chombaa etii,mie nimeambiwa na kaka Mourinho nije eti nikuulidhee etii matokeo yenu na thathuoloo etii mlithinda ngapiii?

Ha hah hah hah mwambie mechi ilikuwa ile ya kwanza dhidi ya juve...
Ile ya Sassuolo lilikuwa ni kama Tamasha tu
 
2013 | by Meytar Zeevi under Transfers and Rumours KEISUKE HONDA told CSKA Moscow again
yesterday that he wants to leave but there are
no further developments. Honda wants Milan, Milan want Honda and CSKA
Moscow want €5 million. The demand of the
Russian club remains the same but Milan are still
refusing to meet their request and yesterday there
were no new developments in the Honda case. It’s clear that the intention of both Milan and the
Japanese is to join forces already in the summer
and not in January but the deal is complicated with
CSKA reluctant to drop even one euro off the price
and the talks remains pretty much stuck.
 
DIDAC VILA has joined the Spanish club on a
one-year loan deal. Nnamdi Oduamadi is
meanwhile close to Brescia. Milan haven’t made a new signing in a while with
the transfer of Keisuke Honda stuck due to CSKA
Moscow’s demand which Adriano Galliani has
announced Milan will not meet, but players are
leaving the Rossoneri and Didac Vila is one.
 
First-half goals from Robinho and the Dutch anchorman ensured a Rossoneri victory, who will now
entertain either Chelsea or Inter on August 4 AC Milan kicked off the Guinness International Champions Cup tournament with a narrow win over Valencia in a pulsating clash at the Estadio Mestalla. Robinho made amends to put the Rossoneri ahead following a first-half penalty miss before Nigel de
Jong placed an exquisite curling shot beyond Vicente Guaita to double Milan's lead. Valencia pulled a goal back early in the second half as Dani Parejo netted from close range. However,
despite their persistence, los Che could not find an equaliser. And perhaps they would have had Valencia coach Miroslav Djukic included captain Roberto Soldado in
his line-up but the striker's absence was somewhat explained by the strong interest shown in him from
Spurs. Instead, Djukic opted for 19-year-old Paco Alcacer up front, while Milan included new signing Andrea Poli
and star duo Kevin-Prince Boateng and Robinho in their starting line-up. Robinho – who missed a penalty in a midweek friendly against Juventus – again failed to convert from the spot, as Guaita pulled off a one-handed save, with Valencia's defenders reacting quickly to clear the
danger emanating from the rebound. But the 29-year-old, who had been linked with Santos this summer, made amends less than a minute
later drilling a low shot from the edge of the penalty area across Guaita and into the left corner after a fine
assist by Poli. It was a terrific finish but drama was to follow for Robinho as he pulled up with a suspected groin
problem shortly after, and a melee ensued as Valencia refused to kick the ball out and nearly scored
through Alcacer. Antonio Nocerino and Boateng were shown yellow cards for their involvement in the fracas. The frenetic nature of the match continued as an Adil Rami header was disallowed for offside, while
Feghouli wasted a terrific chance moments later for the Spanish side. Boateng also had a goal disallowed following a foul at a Milan corner before De Jong scored a stunning second for the Serie A side. The Ghanaian fed the ball to the former Manchester City midfielder and from 25 yards he curled a superb
effort into the top-right corner, giving Guaita no chance. De Jong hit a free-kick just wide on the verge of half-time, with the break allowing both sides and the
fans to catch their breath. Valencia did reduce the deficit to one shortly into the second half following a flurry of half-time
substitutions from both sides. An excellent Jonas chip found Alcacer in the penalty area, and the youngster had the presence of mind to
square for Parejo, who simply side-footed past Gabriel. It was a deserved goal and Alcacer went close himself just after, with Banega following up with a decent
free-kick that fizzed just wide. Valencia continued to press, Feghouli, Alcacer and Michel all firing attempts on goal but not finding the
net. The hosts were desperately unlucky when Federico Cartabia thrashed a 30-yard effort against the
underside of the bar, firing one over shortly after. Oriol Romeu then clipped the crossbar with a cross and Cristian Zaccardo cleared Alcacer's effort off the
line, but it was not to be as Milan grimly held on for victory. Milan will now play the winners of Chelsea or Inter in New York on August 4.
 
valencia 1-2 Milan
“I am very proud about my goal after all I have
gone through in the last six months,” De Jong, who was one of La GdS‘ “positives” from
yesterday’s game, told Milan’s website. “I expected
to have reached this level of fitness considering
how hard I have been working at Milanello. I am
not thinking too much about either Inter or
Chelsea, we’ll see what happens.
 
Nimemisi sana manjonjo ya Gang Chomba,laiti angekuwepo hapa,walah ntafuata Turati hukohuko hata kama yupo segerea ya huko aje arindime habari za AC Milan.
 
Nimemisi sana manjonjo ya Gang Chomba,laiti angekuwepo hapa,walah ntafuata Turati hukohuko hata kama yupo segerea ya huko aje arindime habari za AC Milan.

Ukimuona msalimu kwa style za Gattuso, makofi kidogo shavuni, nasisitiza makofi kidogo, usije ukamtia banzi wakati unajua yuko na swaumu!
 
aniele Bonera will miss the next three months
and it seemed that the Rossoneri have decided to
sign Inter’s Matias Silvestre to replace him but
according to Adriano Galliani the talks have ended
and Milan will no longer pursue Silvestre. Sky Italia reported that the sides were getting
closer to each other with Inter agreeing to give the
player on loan, but with Milan wanting a free loan
with an option to buy 50% of Silvestre and Inter
wanting a paid loan, there is no deal.
 
Ukimuona msalimu kwa style za Gattuso, makofi kidogo shavuni, nasisitiza makofi kidogo, usije ukamtia banzi wakati unajua yuko na swaumu!


Nitamkumbuka kwa hii nyimbo,hii gang Chomba hii,haloo Gang Chomba kaka,nakutafuta sikuoni mimi,natumia darubini sikupati ehehh!,ni umbali gani ulipo?nijulishe,nipigie simu namba 26561,enzi hizo simu za ndani zile ukipiga namba kidole unabonyezea inarudia tena nadhani umenipata simu za aina gani(hapo dsm code 051)
 
Nitamkumbuka kwa hii nyimbo,hii gang Chomba hii,haloo Gang Chomba kaka,nakutafuta sikuoni mimi,natumia darubini sikupati ehehh!,ni umbali gani ulipo?nijulishe,nipigie simu namba 26561,enzi hizo simu za ndani zile ukipiga namba kidole unabonyezea inarudia tena nadhani umenipata simu za aina gani(hapo dsm code 051)

Hahahahahahahahahaa, zilikua zinajengewa kibox cha mbao, kinapigwa kufuli funguo anakaa nazo shuaboy, panabaki pakupokelea tu.
Baadae tukagundua kupiga kwa kijiko but uwe umekariri vitufe vya namba.
Hahahahaaaa, doh!
 
Hahahahahahahahahaa, zilikua zinajengewa kibox cha mbao, kinapigwa kufuli funguo anakaa nazo shuaboy, panabaki pakupokelea tu.
Baadae tukagundua kupiga kwa kijiko but uwe umekariri vitufe vya namba.
Hahahahaaaa, doh!


Hah hah hah pamoja na kubana koote huko wazalendo tulikuwa tunaichekecha na kupiga simu...
Shuzi ilikuwa Bili ya Mwezi inapokuja sasa
 
Hah hah hah pamoja na kubana koote huko wazalendo tulikuwa tunaichekecha na kupiga simu...
Shuzi ilikuwa Bili ya Mwezi inapokuja sasa

kuna siku nilicheza hako kamchezo bana,kumbe dingi hajaenda kazini yuko chumbani kanyanyua simu ya kule anasikia mazungumzo yangu yote na shemeji yenu!kulikuwa na encyclopedia kubwa sebuleni nilitandikwa nayo kichwani mwangu nikaanguka chini hadi mzee mwenyewe akaanza kuniuliza kwa hofu,"vipi umeumia mwanangu?"mnanikumbusha mbali nyie ha haa!
 
MATIAS SILVESTRE is practically a Milan player
after an agreement between Inter and il
Diavolo has been reached. Adriano Galliani suggested last evening that Milan
abandoned the Matias Silvestre option but the two
sides returned to the negotiating table on Tuesday
afternoon and found an agreement: Silvestre, 28-
years-old, is a new Milan player.
 
Back
Top Bottom