shifta
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 474
- 192
kuna siku nilicheza hako kamchezo bana,kumbe dingi hajaenda kazini yuko chumbani kanyanyua simu ya kule anasikia mazungumzo yangu yote na shemeji yenu!kulikuwa na encyclopedia kubwa sebuleni nilitandikwa nayo kichwani mwangu nikaanguka chini hadi mzee mwenyewe akaanza kuniuliza kwa hofu,"vipi umeumia mwanangu?"mnanikumbusha mbali nyie ha haa!
Hah hah hah ebana umenichekesha sana.
Sasa ukishaona mshua amebonyea basi na wewe ndio unajitia uko hoooi lagalaga...dah