Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #981
Waghana watatu ( .. Balotelli, Boateng & Munthari) wanatutoa kimasomaso
Haswaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waghana watatu ( .. Balotelli, Boateng & Munthari) wanatutoa kimasomaso
nikiripoti kutoka hapa Sansiro Meazza ni mimi Gang Chomba nawarudisheni studio kwake Mouringo kwa ajili ya habari nyengine
nikiripoti kutoka hapa Sansiro Meazza ni mimi Gang Chomba nawarudisheni studio kwake Mourinho kwa ajili ya habari nyengine
OLYMPUS HAS FALLEN...
AC Milan imemuuza kiungo wake Kelvin Prince Boateng kwa klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani...
Hivi mzee mwenzangu, is it about money au kunani hapo Meazza? Mlimuuza beki bora duniani Thiago Silva na sasa the Prince, kulikoni?
Yaani sijui kuna plan gani kwa sasa pale Milan...
Ila dah
Sidhani kama Milan wataqualify Champions League msimu ujao,nilikuwa namlaumu sana Allegri lakini msimu huu siwezi kumlaumu yeye
Kikosi cha Milan cha sasa ni dhaifu mno,hivi imagine Mexes anaumia kuna beki mwingine wa maana? sikutegemea kabisa Boateng kama atahama alikuwa anakaba anatengeneza magoli na kufunga,mechi ya mwisho alifunga goli 2Nani wa kulaumiwa Belo hapo?
Kikosi cha Milan cha sasa ni dhaifu mno,hivi imagine Mexes anaumia kuna beki mwingine wa maana? sikutegemea kabisa Boateng kama atahama alikuwa anakaba anatengeneza magoli na kufunga,mechi ya mwisho alifunga goli 2
Nikiangalia wapinzani Juventus,Napoli,Roma na Fiorentina walivyosajili sioni kama Milan watafurukuta.Kumbuka serie A inatoa timu 3 kushiriki Champs league
Bado hujanitajia anaepaswa kulaumiwa Belo