hii Napoli hii,Chomba usinunue Panadol haitoshi,nunua dawa ya maumivu kali,napendekeza Diclofenac!
Mmmmnh, labla Jack Daniel mzinga mkubwa, embassy pakti moja, gomba kama la kg 1 na kushi kama za Jah Cure
ha ha haa!akimaliza hiyo dozi lazima akili iharibike na kuanza kushangilia magoli ya Higuain!
Ila bado nataka Milan washinde, hata kama huyu Mwanakwetu ataleta ngebe na majisifu yake, ntaufurahia ushindi wa Milan kuliko kipigo chao
mourinho anzisheni thread ya serie a jamani.nacheki game ya roma na lazio hapa,pia arsenal na stoke.najaribu kucheki ni wapi waingereza wametuzidi,naona ni spidi ya mchezo na maamuzi ya haraka uwanjani.

Umeona kitu Inter wamewafanyia Sassuolo?
Napoli 1,milan 0 Ballotelliii dah!Chombaa,we Gang eeh,uko wapi jamani Chomba wetu?!
Wikiend chungu sana Yanga,Manu then Milan
Napoli wametulia sana. sema wakipata majeruhi kidogo 2 watafulia. Chomba hii mechi ya leo anatambua kua timu yake ipo 50 50 ndio maana kawa mpole. But naumia sana kuona mkongwe mwenzangu anafungwa.