Hivi kama kila kocha lazima awe na uzoefu ndo apewe timu mnafikiri hawa kina Fergie, Wenger, Mourinho, Capello etc wangepata nafasi kuonyesha uwezo wao katika timu kubwa? Maana mtu akitoka timu ndogo atahesabika hana uwezo wa kufundisha timu kubwa kama AC Milan, Man utd, Juve, Barca, Arsenal etc.
clab ya ukubwa wa Ac milan, inaihitaji kuwa na kocha level ya juu. Seedoff level yake ni sossuallo, Bresia, au venezia, kwa milan,aah naona kabebeshwa mzigo. Hivi Roberto Baggio yeye sio kocha?
clab ya ukubwa wa Ac milan, inaihitaji kuwa na kocha level ya juu. Seedoff level yake ni sossuallo, Bresia, au venezia, kwa milan,aah naona kabebeshwa mzigo. Hivi Roberto Baggio yeye sio kocha?
anaitwa Brigadia Generali Michael Essien...
Wenye jukwaa vip naona mechi inaendelea uwanja ni mweupe na uzi huu pia mweupe.
Ko ko ko Wenyewe mpooo? Gang Chomba katelekeza boma kamuacha kijana wake Belo kulinda hadhi ya familia, kazi ambayo imekua ngumu kidogo kwake.
Anyway sijafurahia kufungwa kwenu na ATL, maana tukiwa ulaya msiba wenu, wetu wote. Tusubiri miujiza huko Madrid au sio Ziroseventytwo na kaka juve2012 ?
clab ya ukubwa wa Ac milan, inaihitaji kuwa na kocha level ya juu. Seedoff level yake ni sossuallo, Bresia, au venezia, kwa milan,aah naona kabebeshwa mzigo. Hivi Roberto Baggio yeye sio kocha?
Sampdoria vs AC Milan
Presha ipi pweza? Umemuona kaka ako? Jamaa ake na Anko Festa?